Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Hivi kwenye huo mkutano kazungumza Mufti tu au na viongozi wa dini nyingine walizungumza?
 
Back kwa Mufti, kama kweli hiki ndicho alichozungumza kuhusu Freeman Mbowe, then hata mimi nakubaliana na mleta hoja kuuliza, kuwa, hivi huko kwenye chuo chao cha Theolojia ya dini ya Kiislamu huyu Mufti alifundishwa nini kamsema haya siyo kukashfu imani wala dini yoko
UTII ukizidi unakuwa UOGA, uoga huzaa UNAFIKI na KUJIPENDEKEZA, mwisho wake ni UMAUTI.!
 
Hivi kwenye huo mkutano kazungumza Mufti tu au na viongozi wa dini nyingine walizungumza?
Hebu jiridhishe kwanza na Huyu Mufti anayetaka Mbowe aombewe msamaha as if shutuma za ugaidi ni sawa na kuvunja glasi basi ukirudia uadhibiwe! Very pathetic!
 

Attachments

  • VIDEO:%0AMfuti_wa_Tanzania_amuonba_Rais_@SuluhuSamia_amuonee_huruma_@freemanmbowetz_na_wenzake...mp4
    1 MB
Tunaiachia mahakama. Mufti ndio kishasema yake. Lissu alisema nini alipokutana na Mama Samia Ubelgiji?
Mnasahau sana Mama alitamka wazi kosa la Mbowe ni kukosa adabu hivyo wenyeakili kubwa dio wanaomba hiyo adabu aliyo kosewa aisamehe
 
Hiyo principle mbona ipo wazi? Unawezaje kusoma hiki ni Kizuri kama hakuna kibaya? Au hichi kikubwa pasipo kulinganisha na kilicho kidogo? Ukisema huyu ni mweupe sn ni lazima umemlinganisha na aliye mweusi.

Kwa kupitia ulinganifu ndio utaona kwa uwazi uzuri na ubaya wa vitu. Rejea topic ya superative and comparative ya drs 4.
Hahahaha!!!
Kama ni hivo hakuna kizuri per se na hakuna kibaya per se.
Nyie dini yenu ndogo ndio maana mnajikanganisha na kubwa?
Uzuri au ubaya wa kitu ni degree tu unaposema dar kuna joto mtu wa qatari atakuambia dar ni pakawaida.
unaposema arusha ni baridi mtu wa ulaya kaskazini atasema ni arusha ni pakawaida.
nan kati yao anasema ukweli sasa?
 
Unaongea hayo kwa ujasiri, huku ukiwa umejificha nyuma ya fake ID. Kama mdomo ndio ungekuwa uhalisia wetu, wabongo tungekuwa saa hizi tupo juu x10 ya Mrusi.
Huu ni utaratibu wa jamii forum na ndio dhima yake..
Nenda twitter huko nako tuko open na identity zinajulikana na maneno
makali kuliko hata ya jf.
Mwislamu koko umeskia?
 
Mnasahau sana Mama alitamka wazi kosa la Mbowe ni kukosa adabu hivyo wenyeakili kubwa dio wanaomba hiyo adabu aliyo kosewa aisamehe
Kama u mkweli (I doubt, weka ushahidi) ndio atie adabu. Kuna lipi zaidi? Nilijua kuwa huu ni usongo kwa mama sio kwa Mufti.

Fumbo mfumbie mjinga.
 
Kama u mkweli (I doubt, weka ushahidi) ndio atie adabu. Kuna lipi zaidi? Nilijua kuwa huu ni usongo kwa mama sio kwa Mufti.

Fumbo mfumbie mjinga.
Mkubwa kwamila zetu hakosei(hapo kuna fumbo gani?) Bibi unakera sasa
Uliona wapi penye wakubwa ikatokea sauti na harufu ya ushuzi akashikwa kanzu mkubwa badala ya mtoto aliyepo pembeni?!!!
Mbowe ndiye mtoto aliye chaguliwa na viongozi akiwemo Mufhti kutoa zogo hili
 
Haya kumekucha , jamaa kaandika kwa jazba kawaamsha wazee wa mkunazini, haya kumekucha swalaaaaaaaaaaaa
 
Mufti anamwombea msamaha mbowe kwa SSH, wiki chache nyuma tumemsikia ZZK,Ayatollah, akimwomba SSH amsamehe mbowe... Kuna mahali SSH amechemsha... Wanafanya damage control.
 
jinga kabisa aaa 😂😂😂😂😂 nimecheka sana
Mkuu so umecheki mwenyewe jamaa alivyoshambuliwa na wafia dini 😃😃😃😃 yaani Ile swalaaaaaaaaaa wakaibuka na majambia maana wao ni kuchinja tu.
 
Kwa kuingilia nia Mufti ameongea kwa nia njema na safi.

Kwa hiyo mnapojadili anzeni kwa kuiangalia nia yake kwanza.
 
Mufti na wengine wanaopenda kuona Mboe akiwa huru wanachopaswa kumwambia Rais ni kuwa(

Mchakato wa kesi ya Mboe na wenzie uharakishwe bila kupoteza muda na haki itendeke kwa wakati.

A delayed right is equal to a denied right.
 
Uzuri kwa mnayoanza, mnara wa Babel unaenda kusambaeatisha lugha za watu
Screenshot_20220304-095500_Chrome.jpg

Una msongo wa mawazo

Hii ni stress mbaya sana

Mpaka Leo umekuwa mtu mzima bado unaandika kama mtoto wa chekechea

Hakika una msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom