Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

Wewe siyo muislamu.

Nimeuliza swali kwa waislamu!
Nimekosea kujaribu ku reason na mjinga.
Talk sense to a fool and he will call you foolish.
Ni demokrasia tu lakini huna haki ya kuandika chochote hapa JF.
Tatizo la JF hata wajinga kama wewe wanaruhusiwa kujieleza.
 
Yeye ndiye anaepaswa kuchukuliwa hatua kwa kumdhalilisha Alah enzi za uhai wa Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli ni mkubwa kuliko Alah,Yesu na mtume Mohamad🐒🐒🐒
 
Ni hatari sana kwa tasnia ya sheria kama kesi itaondolewa katika hii stage ambayo mahakama imeshaona tayari kama kuna kesi ya kujibu.Ni muhimu watuhumiwa wajitetee ili kama kesi ni ya kubumba wahusika wawajibike kisheria au kisiasa...Kesi hii imepotoshwa sana mitandaoni nafikiri watakapoanza kujitetea watu watapima kilichopo
 
Nimekosea kujaribu ku reason na mjinga.
Talk sense to a fool and he will call you foolish.
Ni demokrasia tu lakini huna haki ya kuandika chochote hapa JF.
Tatizo la JF hata wajinga kama wewe wanaruhusiwa kujieleza.
Wewe siyo Muislamu!
 
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana. Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mobele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Yaani yeye yupo kimaslahi tu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli Waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote.

Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.

Tumbo
 
Angekuwa Padri au Askofu Shayo,Mushi,Lyimo,Massawe,Mongi na wanaofanana mngeimba nyimbo za kuwasifu.

cDm mngejaribu kuficha hisia zenu dhidi ya wenye kabila,mtazamo,imani na dini tofauti.
 
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana. Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mobele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Yaani yeye yupo kimaslahi tu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli Waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote.

Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.
Shelkh Ponda anatakiwa awe Mufti
 
Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tuu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?[emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1533]
Good
 
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua.

Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu wakati wote badala ya huruma na misingi ya tatizo ni mbaya sana. Huyu mufti ana roho mbaya sana pamoja na tunajua ndiyo ni kada wa CCM. Anajivunija tu heshima sana, sijui hajui nini aongee mobele ya macho ya umma. Au yawezekana haya mambo ya kimahakama hajui kitu na hata kesi zinazosemwa hazijui na hana uelewa nazo. Hivi hua hawangalii kina Dr Shoo wanaongeaje?

Unaambiwa mtu ameshtakiwa makosa yote ni kesi ya Kubumba wewe unaropoka tu, hujui kulimbikiza mtu kesi ni dhambi? Asemehewe amekosea kipi wakati hata hukumu bado? Wasubiri Mbowe afungwe jela kwa hukumu ndiyo waniombee msamaha.

Kiongozi mwenye busara angeomba busara zitumike katika kufungua na kuendesha kesi, maana yake kesi zisiendeshwe kisiasa. Eti mtu ananyanyuka bila hata haya wasamehewe, wamekosa nini?

Yaani yeye yupo kimaslahi tu hata delegations za nafasi yake hazijui. Mtu unazungumzia kitu hujui msingi wake wala outcome ya utakachosema unaropoka tu.

Kwakweli Waislam kwa huyu kiongozi tumepigwa. Hakuna kiongozi hapa na huu ndio ukweli. Ifike mahali uchaguaji viongozi wa nafasi uangalie wenye elimu zote, wenye experience kwenye mambo yote.

Siye hawa walimu wa madrassa ambao mtu anapewa nafasi hajui azungumze nini anajikuta anaropoka tu.
Kwani elimu ya mufti wa Tanzania ni kiwango gani?
Maana nijuavyo mtu hana uelewa na yale yalio nje yake ya uelewa.
Sana sana akijitahidi ataiahia kuamini tu bila kujisumbua kuhoji.
 
Wenyewe wanasema "kuhifadhi Koran"
Afadhali hao wanaohifadhi.Nyie hamruhusiwi hata kuisoma hiyo Biblia.
Mnasomewa na wachungaji na mapadri.
Kwa hiyo hamjui hata kilichoandikwa kwenye biblia.
Ukijaribu kuuliza unayosomewa unajibiwa biblia haisomwi kama kitabu cha kawaida.Ni mafumbo.
 
Na yule wa KKKT aliemuombea msamaha akasema kutubu kupo,acha maneo ya kichoko,kabenddera alikiri na wote tunajua hana makosa,na kwa kosa lile kama ingekuwa kweli asigeppata visa ya kuingia UK.tatizo lenu munaruhusu akilizenu zishikiwe na lema na lisu.
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday School mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona donge mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
kumbe upo mama
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika

Mimi sikubaliani na wewe. Mleta hoja hajafanya kosa lolote na wala hajakashfu imani ya mtu yeyote....

Hii ni wrong perception tu ya msomaji na wenye imani hiyo (baadhi) kwa kubeba tafsiri mbaya tu kwa kila kisemamwacho kuhusu mtu mmoja wa imani yao...

Na sijui ni kwanini tu hawa ndugu zetu waislamu huwa likisemwa jambo moja dogo tu kuhusu imani yao huwa wanalipuka utadhani moto wa kifuu....!

Mimi nawashauri wajifunze kwa watu wa imani na dini zingine hisusani kwa wakristo....

Mfano, kwa wakristo hata akitokea mjinga na mpumbavu mmoja wa imani na dini yoyote akaweka kiti chake juu ya mlima Kilimanjaro na vipaza sauti vyake na kuanza kumtukana Mungu ama Yesu Kristo mchana kutwa na usiku kucha , nakuhakikishia hakuna mkristo yeyote atakayemjali mjinga na mpumbavu huyu kwa sababu maneno au matusi yake hayabadili au kupunguza ama kuongeza chochote katika imani yao....

Kwa sababu kwa mjinga na mpumbavu huyu kufanya vile atakuwa hagombani na mtu, atakuwa ameamua mwenyewe kufanya vita na Mungu muumba. Vita ya Mungu na adui zake, mwanadamu atawezaje kuingilia....?

Ni kwamba, huyu mjinga na mpumbavu atatukana huko juu mlimani hadi atachoka mwenyewe na mwisho wa siku, atashuka chini na kwenda kulala kwa sababu sisi wakristo, Mungu ama Yesu Kristo wetu hahitaji kutetewa na binadamu yeyote....!!

Yeye anasimama na kubaki kuwa Mungu tu anayejitegemea na mwisho wa siku atamhukumu kila mmoja sawasawa na aina ya maisha na matendo yake ya hapa duniani...

Mfano humu, imesemwa ishu ndogo tu ya elimu ya madrasa ya huyu anayeitwa kwa cheo cha "Mufti Mkuu", cha ajabu baadhi ya tunaodhani na possibly wanaweza kuwa ni waislamu wamewaka ka moto wa kifuu, na mapovu yanawatoka utadhani mleta mada kaua mtu kwa hoja ya " kikashfu imani au dini ya mtu mwingine....!!

Yaani ignorantly, wanajaribu kutengeneza tatizo lisilokuwepo. Wanajaribu kumtetea MUNGU ambaye anaweza kujitetea mwenyewe unless awe ni mungu wao ambaye sisi wengine hatumjui wala hatumwabudu...

By the way, umegusia elimu ya Theolojia ya Kardinali fulani ukilinganisha na elimu madrasa ya Mufti [kama ambavyo muibua hoja Prof Koboko ameileta] na wewe kuja na tafsiri yako kuwa anakashfu imani ya uislamu na waislamu....

Mimi nakuambia jambo huko kwenye Theolojia ya Ukristo au Uislamu [ama "madrasa" kama ilivoletwa na mtoa hoja] watu hawaendi kujifunza ujinga. Wanaenda kujifunza namna njema ya kumtumikia Mungu Yehova kwa njia ya kufikiri na kisha kutenda vyema.....

Back kwa Mufti, kama kweli hiki ndicho alichozungumza kuhusu Freeman Mbowe, then hata mimi nakubaliana na mleta hoja kuuliza, kuwa, hivi huko kwenye chuo chao cha Theolojia ya dini ya Kiislamu huyu Mufti alifundishwa nini kamsema haya siyo kukashfu imani wala dini yokoam
 
Umejitahidi na umefanya kila njia ku "provoke" Waislam, wala huna haja ya kuuficha ujinga wako, upo wazi kabisa, kote kote, kuanzia Sunday School mpaka Kinywani mwako. Kuwa mkweli wa nafsi yako tu, tatizo lako sio Mufti, tatizo lako ni Samia Suluhu. Unaona donge mama wa Kiislaam leo hii kuwa ndio kashika turufu zote. Hilo la Mufti lilihusu nini "madrasa"? Fumbo mfumbie mjinga mwenzio.

Kumbuka tu, elimu ya madrasa haifundishi ukipigwa la kulia ugeuze na la kushoto. Elimu ya madrasa inafundisha kisasi ni haki. Umekuwapweza kujipapalia mkaa mwenyewe. Wewe kamaunatafita Waislam, walahatupo mbali, wala usipate shida za sunday school. Wanafunzi wa madrasa tupo hapa, kinaga ubaga.

Wewe huna elimu ya kushindana hata na mtoto wa mwaka wa kwanza wa madrasa. Unafundishwa nini Sunday School zaidi ya kila siku tunasikia mkilawitiana tu na mapadri na maaskofu, ndio maana hata hapa umeandika ushoga wako.

Ungejua maana ya neno "madrasa" usingeandika utumbo. Madrasa, Kiswahili chake ni madarasa.

Elimu iliyotoka huko ndio mpaka wewe leo unazo "alphabet" ambalo ni Alif Be Te.

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako - courtesy - JF Founder.

Punguani wahed.
Angalia coment ya sesten zakazaka hata mtoa maada akiisoma atajiona kaachwa uchi na anaweza kufuta andiko lake akaja na maada mpya kurekebisha alipo kosea ila wewe unahamisha mjadala na kuvuruga kuvuraga kabisa Hongera sana zakazaka. Prof koboko kwenye kuandika au kuongea unaweza ukapoteza maana ya kila kitu ulichokusudia kwa kuweka neno moja tu. Kuna watu hawana elimu ila wana ushauri wa kiwango cha juu kuna watu wana elimu ya mdrasa ila wana upeo wa kiwango cha juu and the vise vesa is true kuna ma profesor ila upeo zero na wengi tumewashuhudia. Heshim elimu za watu heshimu upeo dini za watu.
 
Prof Koboko,

Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe

Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema

Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?

Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.

Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine

Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Big up sana mkuu hii shule Ulio itoa wasipo aknowledge basi tutakua na shida vichwani mwetu. Wengi hawawezi kujenga hoja, hayo maneno aliyoyaweka yameharibu uzi wake kabisa.
 
Prof Koboko hakuandika lolote la msingi dhidi ya Mufti. Mbowe ana kesi ya kujibu, mahakama imeshaamua, kwa hiyo kusema ni kesi ya kubumba ni kudharau mahakama. Kumtaka Rais afute kesi ni kuvunja katiba.

Kama ukweli huu haujaingia kichwani mwa CHADEMA basi lipo tatizo kubwa. Mbowe ni gaidi, ushahidi umeonyesha, kaambiwa ajitetee. Ndiyo maana Mufti anamuomba akiri kosa, asamehewe, lakini asirudie tena. Huu ndiyo msimamo wa Viongozi wa dini kwa Rais.
Kuwa na kesi ya kujibu, hakuna maana kwamba tayari Mbowe amehukumiwa kwa Ugaidi! Unaposema ukweli huo uingie kwenye vichwa vya CHADEMA, unataka wana CHADEMA Wewe wapumbavu kama Wewe, usiye jua kukutwa na kesi ya kujibu na kukutwa na hatia?! Kwa taarifa yako, Mandela alihukumiwa maisha gerezani na alitumikia miaka 27, kwa kesi ya mchongo! Hata Mbowe akifungwa au akiuwawa, haimaanishi kwamba amekuwa gaidi!
 
Back
Top Bottom