Prof Koboko,
Umeandika mambo ya msingi kuhusu Mufti wa Tanzania ambayo ni kero hata kwa Waislamu wenyewe
Lakini ungeweza kufanya hivyo bila kutoa kashfa kwa wanaopata elimu ya Madrasa as if elimu hiyo ndio imemuelekeza Mufti Zuberi kusema hayo aliyoyasema
Inamaana wote waliopata elimu ya secular hawaungi mkono kesi ya Mbowe? Au wote waliosoma Madrasa wanaunga mkono uonevu dhidi ya Mbowe au mtu mwingine awaye yeyote anae onewa?
Mbona ulishafanikiwa kujenga hoja yako vizuri tu na imeeleweka? Hukua na haja, hoja wala sababu ya kuumiza hisia za watu wa imani nyingine ili kusema uliyoyasema, unless ulikusudia pia kutoa kashfa hiyo dhidi ya elimu itolewayo Madrasa.
Mshambulie aliyefanya kosa bila kuhusisha imani yake. Mfano makosa anayofanya Kadinali Pengo ukihusisha na Elimu ya Theolojia aliyoipata nadhani utakua unawakosea Wakatoliki wengine
Tafadhali, tuwe sensitive, responsible and considerate kwenye kila tunalosema au tunalo andika
Mimi sikubaliani na wewe. Mleta hoja hajafanya kosa lolote na wala hajakashfu imani ya mtu yeyote....
Hii ni wrong perception tu ya msomaji na wenye imani hiyo (baadhi) kwa kubeba tafsiri mbaya tu kwa kila kisemamwacho kuhusu mtu mmoja wa imani yao...
Na sijui ni kwanini tu hawa ndugu zetu waislamu huwa likisemwa jambo moja dogo tu kuhusu imani yao huwa wanalipuka utadhani moto wa kifuu....!
Mimi nawashauri wajifunze kwa watu wa imani na dini zingine hisusani kwa wakristo....
Mfano, kwa wakristo hata akitokea mjinga na mpumbavu mmoja wa imani na dini yoyote akaweka kiti chake juu ya mlima Kilimanjaro na vipaza sauti vyake na kuanza kumtukana Mungu ama Yesu Kristo mchana kutwa na usiku kucha , nakuhakikishia hakuna mkristo yeyote atakayemjali mjinga na mpumbavu huyu kwa sababu maneno au matusi yake hayabadili au kupunguza ama kuongeza chochote katika imani yao....
Kwa sababu kwa mjinga na mpumbavu huyu kufanya vile atakuwa hagombani na mtu, atakuwa ameamua mwenyewe kufanya vita na Mungu muumba. Vita ya Mungu na adui zake, mwanadamu atawezaje kuingilia....?
Ni kwamba, huyu mjinga na mpumbavu atatukana huko juu mlimani hadi atachoka mwenyewe na mwisho wa siku, atashuka chini na kwenda kulala kwa sababu sisi wakristo, Mungu ama Yesu Kristo wetu hahitaji kutetewa na binadamu yeyote....!!
Yeye anasimama na kubaki kuwa Mungu tu anayejitegemea na mwisho wa siku atamhukumu kila mmoja sawasawa na aina ya maisha na matendo yake ya hapa duniani...
Mfano humu, imesemwa ishu ndogo tu ya elimu ya madrasa ya huyu anayeitwa kwa cheo cha "Mufti Mkuu", cha ajabu baadhi ya tunaodhani na possibly wanaweza kuwa ni waislamu wamewaka ka moto wa kifuu, na mapovu yanawatoka utadhani mleta mada kaua mtu kwa hoja ya " kikashfu imani au dini ya mtu mwingine....!!
Yaani ignorantly, wanajaribu kutengeneza tatizo lisilokuwepo. Wanajaribu kumtetea MUNGU ambaye anaweza kujitetea mwenyewe unless awe ni mungu wao ambaye sisi wengine hatumjui wala hatumwabudu...
By the way, umegusia elimu ya Theolojia ya Kardinali fulani ukilinganisha na elimu madrasa ya Mufti [kama ambavyo muibua hoja
Prof Koboko ameileta] na wewe kuja na tafsiri yako kuwa anakashfu imani ya uislamu na waislamu....
Mimi nakuambia jambo huko kwenye Theolojia ya Ukristo au Uislamu [ama "madrasa" kama ilivoletwa na mtoa hoja] watu hawaendi kujifunza ujinga. Wanaenda kujifunza namna njema ya kumtumikia Mungu Yehova kwa njia ya kufikiri na kisha kutenda vyema.....
Back kwa Mufti, kama kweli hiki ndicho alichozungumza kuhusu Freeman Mbowe, then hata mimi nakubaliana na mleta hoja kuuliza, kuwa, hivi huko kwenye chuo chao cha Theolojia ya dini ya Kiislamu huyu Mufti alifundishwa nini kamsema haya siyo kukashfu imani wala dini y
okoam