Nimeshangaa sana kumbe bado Mrusi anapigana Mariupol, nilijua alimaliza mchezo kitambo

Nimeshangaa sana kumbe bado Mrusi anapigana Mariupol, nilijua alimaliza mchezo kitambo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Huyu supapawa kwa kweli hana la maana, hivi ameingiwa na nini Mrusi, mbona miaka yote tulikua tunamwogopa bure tu...

KHARKIV, Ukraine — Turkey is working to negotiate an exit for the wounded Ukrainian soldiers sheltering in the bunkers of a steel plant in the port city of Mariupol, but its efforts have been complicated by the fluidity of the fighting on the ground and because neither Russia nor Ukraine has given clearance for the plan, Turkey’s presidential spokesman said Saturday.

In an unusually candid interview by teleconference call from Istanbul, the spokesman, Ibrahim Kalin, said Turkey had been talking to Ukraine and Russia, trying to find an agreement even as both sides kept changing their positions.

“It really depends how the Russians see the war situation on the ground and the negotiations,” he said. “The battle on the ground shapes the negotiations,” he added. “Positions also change from one day to another. It is very fluid.”

As the last stand in Mariupol, the southern city that has been left in ruins by weeks of shelling, the Azovstal plant has become a powerful symbol for Ukrainians, and the fate of the remaining fighters — many wounded, and all of them surviving on ever more meager rations — is being closely watched.
 
Warussi wa JF walikuwa wametoa siku 3 tu baada ya kusema raia wote wamekwishaondolewa tangu week 2 zilizopita kuwa Russia atakuwa kamaliza huu mchezo. Kama vita ingekuwa inapiganwa mdomoni kama hapa JF Putin angekuwa kaipiga Ukraine kwa masaa 72 tu [emoji2957]
 
Vita ni mikakati.

Na mkakati unatumiwa sana ni kuhakikisha adui anakosa supplies mpaka anasurrender. Tofauti na muvi zinazoonyesha watu wanakutana eneo na kuanza kushindiliana risasi.

Kama misaada ya 40B ikiwasili haraka hawa wapambanaji walio humo kiwandani watatoka kama washindi. Hii inanikumbusha WW2 wanajeshi wa Urusi dhidi ya Nazi, vita imekolea, warusi wakazama ndani ya jengo kama last resort.

Kila troop iliyosogea pale ya Nazi inaenda na maji. Nazi wakaabort mission sehemu mbalimbali ili kupata man power ya kushughulikia hilo jengo, lakini haikusaidia. Kuna usemi wa utani unasema "Ujerumani imepoteza wanajeshi wengi katika kutaka kulitwaa lile jengo kuliko katika harakati za kuitwaa Ulaya nzima"

Leo huo mchezo anafanyiwa yeye.
 
Kumbuka wanaofanya ndio hao hao warus manake kipind kile ukrain bado ilikuwa ndan ua uaoviet labda hio battalion iliocheza mchezo huo ilitokea Kiev[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulieni, operations hatusimamishi, hata mseme nn, mnataka sana operations zisimame ila bado kwasasa

Nilijua operesheni mlikamilisha kitambo, hata nikaacha kufuatilia taarifa za Mariupol nikijua wameisha, ila jana kwenye pita pita zangu nikshangaa kukutana na taarifa kwamba bado mnapambana Mariupol, yaani hainiingii akilini.....
 
Kumbuka wanaofanya ndio hao hao warus manake kipind kile ukrain bado ilikuwa ndan ua uaoviet labda hio battalion iliocheza mchezo huo ilitokea Kiev[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Yea na Ujerumai aliitarget Russia ila alipanga Ukraine iwe sehemu ya kupata malighafi akimaliza kuitwaa Russia
 
Hili ndilo linaenda kutoka Kharkiv kwa wanajeshi wa ukreni kuzingirwa katika mji huo , muda utaongea tunza msg hii.
Kumbe kweli wamefurushwa Kharkiv maana kuna Pro Russia hapa walipinga kabisa kuwa Russia haijawahi kwenda Kharkiv.Ukishafurushwa there is no turning back,Ukraine inazidi kuimarika na silaha za kisasa zinazidi kuwafikia.Hata Mariupol watasanda tu hao Russia mwisho wa siku na watakimbia.
 
Hahaha huu ni ushabiki wa simba na yanga kati ya Manara na Mzee Mpili enzi zile
Endeleeni kuliwazana [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji3577][emoji3577]

MULTIPLE REPORTS OF HIGH RANKING WESTERN OFFICERS CAPTURED IN UKRAINE BY RUSSIA

Nikikuambia kijana ingia mitandaoni mwenyewe ujionee unaona nakuoonea

NB: hizi ngonjera zenu za kutunga hazitosaidia labda muende nyinyi [emoji16][emoji16][emoji16]

Tunaendeleza operations safisa magaidi[emoji23]
 
Yani utype kwa Capital letters bila link ya hiyo habari kisha utake tukuamini kirahisi hivyo tu.
 
Sisi hatuyaelewi hayo maneno yenu [emoji23][emoji23], Hawa maofisa wa marekani tuliowadaka watatusaidia kujenga miji ya Ukraine iliojotangazia uhuru wake, watajenga miji hio kama vile madaraja, school, vituo vya mabasi, viwanda, mols, masoko, barabara nk bila ya malipo, na hawa uzuri wake hamna prisoner change [emoji16][emoji16][emoji1787] kwa sababu wametoka nje ya Ukraine
Yani utype kwa Capital letters bila link ya hiyo habari kisha utake tukuamini kirahisi hivyo tu.
US Admiral Eric Olson (Highly decorated special ops commander) born in #Tacoma , Wa USA captured in #Azovstal #Mariupol #BREAKING https://t.co/tyVgHzTsUl
20220516_091636.jpg
 
[emoji16][emoji16][emoji116][emoji116],. Sisi tuko byzy hatuyajui hayo

Mwaka huu mtaita maji mma[emoji23]

[emoji91][emoji91][emoji91]The city of New York is under the control of the allied troops urraaaaa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Warussi wa JF walikuwa wametoa siku 3 tu baada ya kusema raia wote wamekwishaondolewa tangu week 2 zilizopita kuwa Russia atakuwa kamaliza huu mchezo. Kama vita ingekuwa inapiganwa mdomoni kama hapa JF Putin angekuwa kaipiga Ukraine kwa masaa 72 tu [emoji2957]
Kuna tatizo kubwa Sana Kwa Hawa ndugu zetu wa Urusi...
 
Oyaaaaa mzigo huo

[emoji16][emoji16], Acha tuwakeree

[emoji116][emoji116].

[emoji3479] Ukro-Nazis Waliokuwa wamekwama Azovstal plant mjini Mariupol wameanza kujisalimisha,

Ukweli ni kwamba wanajeshi hao kumi wa mwanzo walitoka nje ya handaki (Azovstal plant) wakiwa na bendera nyeupe ikiwa ni ishara ya kusalimu amri. https://t.co/6Nlg6GZwZ1
 
Back
Top Bottom