Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hujui Mpira endelea kushangaa.....eti timu kuungana....we umeona wapi!?Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani
Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine
Badala ya timu kuungana ili kuua hii monopoly inayoua mpira, ndiyo kwanza zinakamiana
Kwani ni siasa UKAWA dhidi ya CCM? Huu ni mpira kila timu ipambane kiume kivyakeLigi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani
Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine
Badala ya timu kuungana ili kuua hii monopoly inayoua mpira, ndiyo kwanza zinakamiana
Kaathiriwa na maridhiano ya CCM na CHADEMAHujui Mpira endelea kushangaa.....eti timu kuungana....we umeona wapi!?
Timu zinatakiwa kujiimarisha na kuwa Bora kiushindani....thus all.[emoji24]
Hana akiliKule ulaya hakuna kununua ubingwa kama huku bongo
Hujui Mpira....baki uko UVccm...kwa wajinga wenzioKaathiriwa na maridhiano ya CCM na CHADEMA
anadhani Kila kitu kinahitaji kuungana
Nimecomment kukuunga mkono halafu umenigeuka tena [emoji23]Hujui Mpira....baki uko UVccm...kwa wajinga wenzio
Hakuna ligi zenye matokeo ya kushangaza km ligi za ujerumani na Italy🤣🤣
Sa dortmund jana alihitaji sure tu na yupo nyumbani ila hakupata hata io sare
Basi gori la mwisho atakuwa kapata dk ya 90+ maana nilivoona mbili moja mpaka dk 90 nikajiondokeaNext time muwe mnatazama mpira kabla ya kwenda Ku comments popote..
Dortmund alipata sare Jana .
Alitakiwa kushinda..kakosa ubingwa Kwa tofauti ya magoli .
Sorry nimechanganya mkubwa ...nilikuwa namlenga mtoa Post....pole sanaNimecomment kukuunga mkono halafu umenigeuka tena [emoji23]
Na ukaja kucoment hapa?Basi gori la mwisho atakuwa kapata dk ya 90+ maana nilivoona mbili moja mpaka dk 90 nikajiondokea