Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
5,555
Reaction score
6,972
Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa

Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais na hapangiwi' ili tu kuendelea kuwabeba

Wengine bila yeye msingeweza kuwa mlipo sasa au kupata nafasi ambazo mlipata na mnaendelea kupata, baadhi walioneka kama 'outsiders' katika chama na serikali na hata wengine kupewa uraia ili tu mpate nafasi ya kumsaidia katika majukumu kama Mawaziri na wengine kutolewa 'Majalalani'

Wapi waliomea kipindi chake cha uongozi lakini cha kushangaza mmeshindwa kwenda kujumuika na familia na wenyeji katika sala na maombi kwa ajili yake.

Wabunge wengi ambao mlishika nafasi za 4 au chini au kuwa wageni kabisa katika chama lakini mkapewa nafasi kiasi hata kuwaacha watoto wake ili kuwapa ninyi. Wakazuia wapinzani mkashinda kiulaini Ubunge.

Nimemuona waziri wa ulinzi na kujenga Taifa Mh Innocent Bashungwa tu ambaye mbali ya kuwa ndio kwanza jana wametoka ziara ya kiserikali huko Afrika Kusini lakini ameweza kuwahi na kushiriki ibada.

Mlikuwa wapi wakina Makonda, Hapi, Mabula, Bashiru, Biteko, Doroth G, Kabudi, Babu Tale, Mwana FA, Shigongo na wengine wengi ambao bila maamuzi na mapenzi yake binafsi msingekuwepo mlipo au kufikia ngazi mlizofika sasa
 
Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa

Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais na hapangiwi' ili tu kuendelea kuwabeba

Wengine bila yeye msingeweza kuwa mlipo sasa au kupata nafasi ambazo mlipata na mnaendelea kupata, baadhi walioneka kama 'outsiders' katika chama na serikali na hata wengine kupewa urais ili tu mpate nafasi ya kumsaidia katika majukumu kama Mawaziri na wengine kutolewa 'Majalalani'

Wengine ndio mmemea kipindi chaka cha uongozi lakini cha kushangaza mmeshindwa kwenda kujumuika na familia na wenyeki katika sala na maombi kwa ajili yake?

Wabunge wengi ambao mlishika nafasi za 4 au chini au kuwa wageni kabisa katika chama lakini mkapewa nafasi kiasi hata kuwaacha watoto wake ili kuwapa ninyi. Wakazuia wapinzani mkashinda kiulaini Ubunge.

Nimemuona waziri wa ulinzi na kujenga Taifa Mh Innocent Bashungwa tu ambaye mbali ya kuwa ndio kwanza jama wametoka ziara ya kiserikali huko Afrika Kusini lakini ameweza kuwahi na kushiriki ibada.

Mlikuwa wapi wakina Makonda, Hapi, Mabula, Bashiru, Biteko, Doroth G, Kabudi, Babu Tale, Mwana FA, Shigongo na wengine wengi ambao bila maamuzi na mapenzi yakw binafsi msingekuwepo mlipo au kufikia ngazi mlizofika sasa
Bashungwa na hayati ukiachilia mbali mambo ya siasa ni watu ambao wanafahamiana kitambo kifamilia. So, si ajabu kwake kufika pale. Ni kifamilia zaidi
 
Mkuu wanadamu ndivyo tulivyo, hata wale ndg zako wanaowachangamkia wanao hasa kama una kitu ukifa watawapita kama hawawajui enewei kama wana mawasiliano na familia yake inatosha
 
Sawa sawa ila mapema sana
 
Bashungwa na hayati ukiachilia mbali mambo ya siasa ni watu ambao wanafahamiana kitambo kifamilia. So, si ajabu kwake kufika pale. Ni kifamilia zaidi
Sawa sawa lakini pia kina Dotto Biteko pia wanatajwa kama ndugu pia. Nadhani Bashungwa ameonesha uungwana, waswahili wanasema ndugu ni kufaana na sio kufanana
 
Makonda anaishi kama DIGIDIGI, hawezi kuonekana hapo
SIoni kama ni kweli ni vile kijana hana uungwana, huyu hakutakiwa kuklsa kabisa maana ilifikia kuitwa 'Naibu Rais' , sidhani kama wanaotaka kumshtaki kama ndivyo anaogopa hawajui yuko wapi
 
Back
Top Bottom