GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushasema wasaniii kaka what nextKuna wasanii walijirikodi wakilia sana. Binadamu tunasahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushasema wasaniii kaka what nextKuna wasanii walijirikodi wakilia sana. Binadamu tunasahau.
Hahahaha, usanii ndo next.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushasema wasaniii kaka what next
Rais, spika nao walikuwepo? Wote wamebebwa!Bila shaka ni watu ambao kwa namna moja au nyingine aliwabeba na kuwapa nafasi ya kuongoza, kujifunza na kupanda kisiasa
Aliziba masikio kelele za watu wengi dhidi ya baadhi yao na hata kukataa ushauri wa watu wa karibu na wataalamu juu ya kuwaweka pembeni, alifikia hatu kusema 'yeye ndio Rais na hapangiwi' ili tu kuendelea kuwabeba
Wengine bila yeye msingeweza kuwa mlipo sasa au kupata nafasi ambazo mlipata na mnaendelea kupata, baadhi walioneka kama 'outsiders' katika chama na serikali na hata wengine kupewa uraia ili tu mpate nafasi ya kumsaidia katika majukumu kama Mawaziri na wengine kutolewa 'Majalalani'
Wapi waliomea kipindi chake cha uongozi lakini cha kushangaza mmeshindwa kwenda kujumuika na familia na wenyeji katika sala na maombi kwa ajili yake.
Wabunge wengi ambao mlishika nafasi za 4 au chini au kuwa wageni kabisa katika chama lakini mkapewa nafasi kiasi hata kuwaacha watoto wake ili kuwapa ninyi. Wakazuia wapinzani mkashinda kiulaini Ubunge.
Nimemuona waziri wa ulinzi na kujenga Taifa Mh Innocent Bashungwa tu ambaye mbali ya kuwa ndio kwanza jana wametoka ziara ya kiserikali huko Afrika Kusini lakini ameweza kuwahi na kushiriki ibada.
Mlikuwa wapi wakina Makonda, Hapi, Mabula, Bashiru, Biteko, Doroth G, Kabudi, Babu Tale, Mwana FA, Shigongo na wengine wengi ambao bila maamuzi na mapenzi yake binafsi msingekuwepo mlipo au kufikia ngazi mlizofika sasa