Serikali imepotezea ujinga. Ila watu wanafiki sanaBado kuna kitu sijaelewa.
Hicho kilichofanyika Chato ni Ibada ya kumbukumbu (kifamilia), Misa ya kumuombea (kwa imani ya kikatoliki) au kumbukumbu ya kitaifa (kiserikali)?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali imepotezea ujinga. Ila watu wanafiki sanaBado kuna kitu sijaelewa.
Hicho kilichofanyika Chato ni Ibada ya kumbukumbu (kifamilia), Misa ya kumuombea (kwa imani ya kikatoliki) au kumbukumbu ya kitaifa (kiserikali)?
Imepita hiyoooo. Maisha mengine yanaendeleaVIPI WABUNGE walioteuliwa na Magufuli badala ya KUPIGIWA KURA na Wananchi?
VIPI COVID 19 waliozawadia UBUNGE wa VITI MAALUMU na MAGUFULI?
Vipi waliounga JUHUDI MKONO na KIPEWA Vyeo kina Nassari Katambi MASHINGI Mkumbo ?
Pinda usimuamini Sana kivuli kikubwa Cha kikweteNkamia, mbunge kessy, heri james,pinda, lipumba, slaa nao wamemkacha swahiba
I think is keeping low profile, watu wakimuona tu watakumbushia uovu wakeMnataka aongee watu wakumbushie billion sita anazodaiwa!? Yule mpuuzi Hana hata shukran, alitakiwa Leo awe chato, alipewa hadi ulinzi akiwa anafanya jogging!!??
Eti takataka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kabudo mnamwona yuko sawasawa mzee yule mwenyewe alijiiita takataka
Binadamu wanafiki sana, huyu si ndiye alileta ile chanjo kutoka sijui MadagascarMzee alimpa mwenzake hadhi ya mungu. Eti mheshimiwa mungu......... Ila tuliona mambo.
Profesa wa hela kanyaboya
Zilipakiwa za kutosha kwenye ndege, yule Rais wa Madagascar sijui alituona vipi? Hivi ni kweli alikunywa zile? Maana hata kiusalama haijakaa vizuriBinadamu wanafiki sana, huyu si ndiye alileta ile chanjo kutoka sijui Madagascar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ammeenda kwa niaba ya rais bila hivyo asingefika.Bashungwa na hayati ukiachilia mbali mambo ya siasa ni watu ambao wanafahamiana kitambo kifamilia. So, si ajabu kwake kufika pale. Ni kifamilia zaidi
Rais akitamka ni utekelezaji tu bila kuhojiwa ukweli itajulikanaje? Pesa anatakiwa zirudi harakaMkubwa, hivi ni kweli alohojiwa au zilikuwa tetesi?
Sijui kwanini hili jambi limekuwa big deal... Siku ya kufariki kwake haijawahi kutangazwa kuwa siku ya kutaifa, so kwenda na kutokwenda ni uamuzi wa mtu.Huyo ammeenda kwa niaba ya rais bila hivyo asingefika.
Sema binadam hatueleweki..wangeenda mngeanza kuwasagia kungimi kuwa wanamsalit mama.