Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ni sawa na kutumbua, wakati tuliambiwa kalamu ndiyo itakuwa inasema. Ahadi si kitu rahisi.Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!
Hutakiwi kususa(dharau), bali kufukuzwa ili kutimiza masharti 48 ya rule of power by Chi.Prof kwa kulinda heshima yake, bora akae pembeni. Dunia kizungumkuti sana.
Huku mnasema wawekezaji njooni. Huku mnawapiga sindano ya ganzi
Tumeridhika na bei kama tozo! Nao wameacha kuficha sukari kwa sababu faida maradufu inapatikana.Hivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? sijasikia zile kelele muda mrefu.
Kwa hiyo tunakubaliana hakuna tena uhaba wa sukari nchini, sasa ni kujirahisisha tu kwa majirani kwa kigezo cha "kufungua nchi"T
Tumeridhika na bei kama tozo! Nao wameacha kuficha sukari kwa sababu faida maradufu inapatikana.
Mkuu!Hivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? sijasikia zile kelele muda mrefu.
Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekikbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.
Suala la kuita msimamo wa waziri wake public Nonsense nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafadi na kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnange mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Unamzungumziaje kauli tata za mtangulizi wake?? Kwa kauli zile Mh anasubiri!!!Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!