Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Nadhani hili ni la msingi na pia Mh. Rais pengine alishaona kuna dalili ya jorani kukasirika ikabidi amchape kofi mtoto ili mgeni aridhike....Mengine tusikuze mambo bure...Lengo ni kuijenga Tamzania iliyobora. Lakini isiwe kwenye ku compromise ukuaji wa uchumi wetu
 
Yes, msisahau pia pricinple ya demand and supply. Nadhani mwisho wa siku consumers watafurahi bei zikishuka kwa sababu ya kuwa na sukari nyingi
Hao consumers ni percent ngapi ya wakulima ambao wataathirika viwanda vya ndani vikishindwa ku produce kwa sababu ya ushindani wa bei? Unjua sukari na hypes zake wewe?
 
Kwa maoni yangu Prof. Mkenda alikuwa sahihi kwa asilimia 100. Kwa nini nchi inufaishe wachache na hata sukari wanayoleta ni ya kijanja janja na wakati mwingine sukari inayoletwa mara nyingi imepitisha muda wake. Mtu unapoitwa Professa lazima uheshimiwe.
 
Museveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana
ngoj ngoja sukari ya uganda kutoka brazil inapitia bandari gani?
 
Magufuli alishawapunguzia tozo ambayo Museveni aliridhika nayo. Hakukuwa na haja ya kununua sukari ni bora angempa sugar sukari ya Zuchu
 
Anataka kuzuia kagera sugar ya Magufuri,sukari ya Uganda tunanunua Bei chini kabisa kilo moja hapa mtukula mpk 1800 ya Magufuri 3000 na inazalishwa mkoani mh raisi Yuko sahihi
 
Kama tulizalisha alikuta sukari Bei gani na kaiacha kwa sh?mbona mw endazake mnamuona Kama mtukufu wakati ameu maelfu na maelfu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…