This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
msimamo wa Waziri , kwamba tuagize sukari ikiwa kuna uhaba.Kuna mambo mengine yanahitaji decision promptly.
lakini sielewi hapa mnataka sukari iagizwe?!? isiagizwe?
Museveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.Hivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? sijasikia zile kelele muda mrefu.
Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekikbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.
Suala la kuita msimamo wa waziri wake public Nonsense nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafadi na kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnange mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Absolutely Correct. This should have been handled within closed doors.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Waziri hana mamlaka ya kuweka sera kama yake waziri anatekeleza yanayoamuliwa na baraza la mawaziri au sera ya serikali. sasa ajibu aliambiwa na nani hatununui sukari ya Uganda au ilikuwa uamuzi wake yeyeNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Ikiwa hayo yalifanyika basi yanapaswa kuendelea kufanyika?Hivi wakati wa tumbua tumbua ulikuwa umezaliwa?
Wakati waziri mkuu anadhalilisha kwenye kikao chake mwenyewe na wafanyabiashara ya korosho ulikuwa hospital?
Mwacheni mama afanye kazi , acheni chokochoko za kipuuzi!
Acha upumbavu na ushamba.Hivi wakati wa tumbua tumbua ulikuwa umezaliwa?
Wakati waziri mkuu anadhalilisha kwenye kikao chake mwenyewe na wafanyabiashara ya korosho ulikuwa hospital?
Mwacheni mama afanye kazi , acheni chokochoko za kipuuzi!
Sence ndio nini wewe? Tena umerudia mara mbilimbili kuonyesha ulivyo mtupu.Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
You are totally misinformed buddy,UG wanatumia Mombasa Port kwa almost 82% ya mizigo yake the rest ndio ifikirie TZ. Again SGR ya KE now inatoboa mpaka Naivasha mpaka Busia mdomoni kabisa mwa mpaka wa UG na KE, na wamepewa free land area kwa ajili ya kujenga Dry Port ya Mizigo.Bro ni vizuri pia ujue kuwa uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba tanzania,hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za tanzania badala ya za kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wengi mnapenda kuandika bila kuelewa, sera na Sheria zipo wazi. Kulinda viwanda vya ndani sukari inapaswa kuagizwa endapo kuna upungufu na waagizaji wanapaswa kuwa viwanda na sio wafanyabiashara.Waziri hana mamlaka ya kuweka sera kama yake waziri anatekeleza yanayoamuliwa na baraza la mawaziri au sera ya serikali. sasa ajibu aliambiwa na nani hatununui sukari ya Uganda au ilikuwa uamuzi wake yeye
Story za Bamburi Cement zianze kurudiMkuu!
Magufuli hakuzuia sukari toka nje kwa sababu ya roho mbaya hapana.
Alisema kabisa tuna mashambe mengi tuzalishe sukari yetu hapa hapa nchini na kufaidisha viwanda vyetu vya ndani.
Yule mzee aliambulia matusi toka wapumbavu badala ya kutumia fursa hiyo kuongeza uzalishaji ili kuinua vipato na kuongeza ajira.!
Kila siku huwa nasema hapa kwamba kumpigania mpumbavu malipo yake ni upumbavu!
Ona sasa tunaenda kuwa dampo la sukari toka uganda!
Nmeona uzi hapa jana mtu anashauri Samia aruhusu cement toka Kenya, na usishangae na yeye akafanya hivyo.
Tatizo mmatafsiri vibaya neno Nonsense.Nonsense kwa kiswahili maana yake ni kitu ambacho hakiingiii akilini,sasa hili neno linaubaya gani?.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Hebu angalia hizi: Unataka kusema waagiza Brazil wanapita DSM hadi Kampala halafu ndipo wanarudisha huku ama wanauza hapohapo Bandarini tukiona mchana ama. Hebu angalia baadhi ya takwimu kutoka mitandaoniMuseveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana