Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Ukifanya trade protectionism uwe umejipanga, kwanza kuna mikataba ya east african community, lakini kumbuna kuna social welfare, kwamba bei ita wasaidia wana nnchi, na wewe kama kiongozi kuna political mileage kwenye hilo.
 
Mama ameanza kupandisha mabega, kwa lugha yake mwenyewe. Hapo ni miezi tu, baada ya miaka sijui itakuwaje.
 
Binafsi naona ni sawa ,unazuia sukari ,cement,nondo, mabati, WAKATI viwanda vya ndani vipo na havina huwezo ,hata quality ya product zao ni za chini , bali ujanja janja mwingi ,

Bidhaa zije ,Ili ata wazalishaji wetu wapate ushindani wa kudhalisha bidhaa bora
 
Biashara ni watu hela zao ndizo zitafanya usitawi ama vinginevyo,pia utashi wa kisiasa ndiyo unaweza kukuza ama kuua biashara
 
Sukari inaagizwa Tu pale kunapokuwa na upungufu ,Kama mpango ni kuua Viwanda vya ndani vya sukari Sawa labda wangesema kukiwa na upungufu wanunue Uganda ,

Muda sio mrefu wenye Viwanda vya ndani watalalamika
Waache walalamike tu , wanashindwa kuzalisha sukari ya kutosha, sukari ya ndani inapanda bei ovyo
 
Huyu waziri nonsense n waziri nan?
 
1.Nchi hii haijitoshelezi kwa sukari... huu ni ukweli ulio wazi
2. Upunguvu wa sukari utajaziwa na import toka nje.... hili halina ubishi
3. How diligent is the system used to establish annual sugar shortage
4. Waziri alipotoka kidogo aliposema hatatoa vibali, badala ya kusema tunaangalia upunguvu na tutatoa vibali kwa kulingana na mahitaji
5. Ukisema hutoi vibali ina maana unakataa kuwa hakuna upunguvu
 
Kumbuka EA pia wana makubaliano yao ya kibiashara kama nchi za Africa ya mashariki kunaweza kuwa na sera zikapingana na jumuia. Kikubwa hapa nafuu kwa mlaji kama sera zao zinaumiza watu hazina faida. Waziri kama kweli ana msimamo basi mwanamme kweli leo angekuwa ame resign lakini kwa kuwa hatuna mishipa ya aibu wala misimamo atabadili gear angani tu kama waziri wa afya. nitampa heshima yake akisema na resign nitajuwa alikuwa anasimamia haki ila aki switch ni wale wale tu
 
Kuna mambo mengine yanahitaji decision promptly.

lakini sielewi hapa mnataka sukari iagizwe?!? isiagizwe?
Profesa Mkenda Yuko sahihi 100%! Sukari iagizwe pale panapokuwa na nakisi Kati ya demand na local capacity of production, sio kuagiza tu kama mazoea kwani Hilo linauwa wazalishaji wa ndani!

SSH anong'onezwe, hapo kabugi!
 
Achana na gender stereotype ktk leadership. Ungejadili kauli ya Rais na ya Waziri kama ulivyoanza; lakini maneno yako matano ya mwisho hayana heshima kwa mamlaka ya juu ya nchi. Na siyo nidhamu ambayo baadhi tumelelewa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…