Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Mkuu hata mwendazake hiyo tabia alikuwa nayo sana tu
 
Kauli yako ndo inatakiwa iitwe nonsense, waganda hawajaleta bomba Tz kwa sababu wanatupenda sana ni walifanya cost-benefit analysis wakaona wapitishe Tz kwa sababu ni karibu kuliko mombasa na ujenz rahis ni tambarare na pia usalama uku kwetu ni mzur kuliko njia ya kenya, hizo sababu zingekuw nzur kule mombasa wangepitisha kule tu, sema mama waagiza sukar wengi ndo wale waarabu na wahind ambao wamekua nae karibu anakubali tu
 
Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
you nailed it
 
Tutaletewa sugar Brazil zilizo kwisha muda wake zikiwa na package kutoka Uganda , tuta agizaje sukar kutoka nje wakati viwanda vina jengwa bagamoyo vya Azam naNssf vyote anaenda kuviua kwa faida ya wa chuuzi
 
Kwa katiba hii Rais ndiyo sera..anachokisema kinageuka kuwa amri na si pendekezo kwa watunga sera.

Pole ndugu, sukari ni lazima ije, tunao dai katiba mpya tuna maana kubwa. Nawashangaa wana CCM wenzangu ambao bado hawajaliona tatizo hili kwa upana wake.
 
Mimi nasubiri tu Mama akiri dhambi hizi....

Risasi kwa TL
MDUDE
MAWAZO
Saa 8
KUNUNUA akina WaItaRa....
Aquiline AQUELINA
AZORY
Etc...

Zipo nyingi. Akiri tu na Roho yangu itulie.TUANZE UPYA.
 
Hapo na mimi nashangazwa kwa kweli.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwa kiasi fulani ingawaje mengine hatyahitaji Katiba Mpya.
Katika hili Mh Rais amevurunda kwa sababu kwanza wangeweza kulimaliza suala hili ofisini kwake na siyo hadharani.
Na pili the logical reasons alilotoa waziri wa Kilimo zina make sense, na mama hana counter argument zaidi ya kuendeleza biashara- at whose expense?
 

ni kweli waziri hakutumia akili tunataka sukari iwe nyingi iwepo ushindani ili walaji wapate bei nafuu ya sukari sio kulinda viwanda vyetu na wao wauze uganda sukari tunachotaka vitu vijae bei ipungue mlaji afaidike
 
wazalishaji wa ndani ni wapumbavu, haiwezekani sukari toka nje isafirishwe ilipiwe kodi bado iwe na bei ndogo kuliko sukari ya ndani
 
Hivi maana ya neno NONSENSE kwa kiswahili ninini???😆😆
 
wazalishaji wa ndani ni wapumbavu, haiwezekani sukari toka nje isafirishwe ilipiwe kodi bado iwe na bei ndogo kuliko sukari ya ndani
Upumbavu mkubwa zaidi ni kodi zenu wenyewe!
Tena kodi mmezipitisha Bungeni mwa watu nashindwa kuwaita wapumbavu maana ni waheshimiwa ndani ya bunge la Ndugai-shooting yourself in the foot!
 
Museveni hana.viwanda vya kuzalisha sukari nyingi, Uganda wanaagiza sukari kutoka Brazil na hivyo wanakua na excess ya sukari kutoka Brazil na ndio hiyo wanataka kutuuzia.
Sasa kwa nini sisi wenyewe tusiagize kutoka Brazil, hangaya anafeli sana
Mkuu unahisi wewe una taarifa sahihi kuliko Rais wa Nchi?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…