Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

km waziri alijiamulia basi ni nonsense kweli maana sera za nchi zinawekwa na rais, ila si ndio nyie mlikua mnashangilia mkuu wa wilaya kuchapa watu viboko mbele ya camera? hamko interested na haki lengo lenu ni kumkosoa tu rais
 
Mambo ya kuzuia zuia ni primitive policies. Serikali ina namna njema ya kusaidia sekta ya viwanda kukua bila ya kuwaumiza walaji. Halafu wafanyabiashara wenyewe, bila ya kulazimishwa, wataacha kuagiza sukari nje, kwa sababu haitalipa.

Niliwahi kushiriki kwenye project moja ya UNDP, ilielezwa wazi kuwa kiongozi ambaye anadhani unatatua tatizo kwa kutoa marufuku kila mahali, ana akili kidogo, na hafai.

Ukitaka kuokoa miti isichomwe mkaa, hutakiwi kwenda kuwaambia watumiaji wa mkaa au wachoma mkaa, eti kuanzia leo ni marufuku kukata miti. Kama hakuna altenative rahisi zaidi ya mkaa, halafu unawazuia wasikate miti, watapikia miguu yako? Mwenye akili anaenda njia tofauti kwa lengo lilelile.
 
Unapoona Marekani inamfanyia fugusu Huawei isiuze simu nchini kwake unafikirije?
 
Haaaaaaa! Mkuu asikuambie ntu, njaa mbaya sana!
 
Hizi ni chokochoko mmeanza. Prof piga kazi hilo nalo litapita
 
Hapo ni quality mbona wengine wanaruhusiwa kuuza,au politics kama China anazuia basi naye anazuia
Uliona wapi china kazuia simu toka usa?

Quality ipi? Ulishatolewa ufafanuzi wa ubovu wa simu zao?
 
Kama Mchaga angeitwa hivyo yaani mpuuzi na Magufuli sasa hivi hapa JF pangekuwa panawaka moto .

Mungu yuko fair sana ndo maana Waswahili tunasema siyo Athumani, sasa Raisi kipenzi chenu kawaita wapuuzi na washenzi live, na bado huu ndo mwanzo tu.

R.I.P. Magu !
 
Sawa hatukatai, likini sio busara kunya hadharani. mama naye kaanza kupandisha mabega.
 
Kama Mchaga angeitwa hivyo mpuuzi na Magufuli sasa hivi hapa JF pangekuwa panawaka moto .

Mungu yuko fair sana ndo Waswahili tunasema siyo Athumani, sasa Raisi kipenzi chenu kawaita wapuuzi na washenzi live, na bado huu ndo mwanzo tu.

R.I.P. Magu
Magufuli alikuwa anawaita hivyo kwa mambo ya msingi .mfano unakuta daraja lomevunjika wao wanajivuta tuu il hali watu wanqhitaji huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…