Vya kushangaza ni vingiKauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijital.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza
Degree bila busaraKauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijital.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza
Usiseme uongo, sema alichokisema, kasema hao ni asilimia 16 tu na kati ya hao 40% wapo nje ya Tanzania.Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijital.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza
Mkuu
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.

Inashangaza.
Wanapiga au hawapigi au wanampigia nani kura watajuwa wao.Hawapigi kura? Je ni asilimia 16 tu?
Inamaana nayeye hapigi kura sababu yuko mtandaoni miccm akili ya kuku,na kwanini wanakimbilia kufunga mitandao wakati wa uchaguzi kama hakuna wapiga kura humu
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza.
Tukeshe kumjadili Nape?Tangu lini Nape Nnauye akawa na akili timamu?
Wewe unazo zinakutosha mwenyewe, au sivyo? Za Nape zinakuhusu nini?Tangu lini Nape Nnauye akawa na akili timamu?
zinatuhusu hatutaki watanzania kuongozwa na mazwazwaWewe unazo zinakutosha mwenyewe, au sivyo? Za Nape zinakuhusu nini?
Hiyo digrii unayoizungumzia ni ya kimchongo kinoma aliipata kule Bangalow, India.
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza.
Hivi kumbe bado unaongzwa tu mpaka leo?zinatuhusu hatutaki watanzania kuongozwa na mazwazwa
Body language: ukiangalia yule anayeambiwa anajua kabisa anadanganywa. Lakini IQ zao si mbali, huyu anayesema maneno haya hajui kama anadanganya. Hapo ndiyo Tanzania ilipofika, ……… imagine hao wawili uwabadirishe mmoja Nyerere na mwingine Mwakawago
Kauli zingine zinafikirisha sana.
Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali.
Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia.
Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani.
Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura.
Inashangaza.
Wewe ni mjinga wa statistics....hujuwi what level of confidence & std error of estimate inference is drawn....nyie memorize tuu "anaupiga mwingi"Wanapiga au hawapigi au wanampigia nani kura watajuwa wao.
Wewe bingwa wa statistics, Mbarali jana ni bashraf tu, mziki kamili waja soon.Wewe ni mjinga wa statistics....huju what level of confidence & std error of estimate inference is drawn....nyie memorize tuu "anaupiga mwingi"