cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Mbona povu nitaweka Hadi video humu zilizoko kwenye gallery maana mumebadilisha kabisa hoja kwani tunashindana kujua alama za viwanja kwani Mimi ni mjenzi wa viwanja.Huyo mdada mimi imebidi nimnyamazie naona wewe umempa makavu, Inawezekanaje uwe unatumia uwanja wa kiliminjaro airport halafu usione mabadiliko yaliyopo? namsubiri aendelee kubisha nimuulize alama muhimu zinazopatikana kwenye jengo la kusubiria ndege
Jifunzeni kujibu hoja my logic was simple tu