Nimeshangazwa na maboresho makubwa yaliyofanyika uwanja wa ndege wa KIA, unavutia sana

Kia itakuwa imepita JNIA Daressalaam kwa kupokea ndege nyingi za kimataifa

Kuna siku niliona El Al imeleta watalii wa Israeli

Wale wanakujaga direct from Tel Aviv to Kia.....in groups......

JNIA inapokea zaidi international planes......
 
Mimi hujibu mtu kulingana na alicho nijibu, Sasa yeye kusema najifanya sijui sijapita nadaganya alikuwa na uhakika, maana hapo Kia yeye kaona ka mbinguni na Mimi niliona bado panahitaji marekebisho Sasa kosa langu lilikuwa lipi?
Na wewe usinichoshe bana[emoji23][emoji23]
Mkuu seriously wewe unahitaji cancelling tafuta mtaalam hauko sawa, usiwe unapenda kujibishana ili uonekane tu umeongea PUMBA
 
Wewe hukutaka kuelewa from beggining as if wewe tu ndo umepita hapo, and I said Kia still need improvement zaidi ukasema sijapita na blah blah nyingi unataka fact's Sasa picha ndo fact's jamani kah.
Sidhani hata huo uwanja kama unaujua, nimefatilia mazungumzo yenu, hoja yako ni sehemu ya kusubiria abiria eti iongezwe hivi unaijua KIA kweli ya sasa? Ni bora ufate ushauri wa member hapo juu kakate tiketi ya mwendo kasi tu unatumisha misuli kubisha yawezekana sehemu yenyewe huijui unawezaje kusema waongeze sehemu ya kupumzikia wageni wakati tayari zipo tena za kutosha na bora kabisa na hazijawahi kujaa kwa wakati mmoja

Jaribu kujifunza kama hujui kitu hakuna ulazma wa kuonesha unajua kila kitu wakati hujui. KIA kuna maboresho makubwa sana na ndege zote kubwa zinatua pale kwa sasa tofauti na zamani kwa ambao wanapinga kama wewe ni kutaka kuonesha tu mmepanda ndege na yawezekana hata hamjawahi maana wengi wao ndio huwa wabishi kwa wasichokijua na kwa vile jf ina watu wa kujifanya mnajua kama nyie mnalazimika kubisha ili muonekane na nyie sio wageni kwenye kukwea pia.

NI UNAFIKI TU NA USHAMBA WA KUBISHA VITU MSIVYOJUA
 
Requal,

Sasa picha au video ziko wapi? Au unafikiri wote tunapita KIA kila siku? Weka zamani na mpya ili twende sawa.
Kwanini unahalili comment zangu mkuu?

Haujui ni kosa hili hapa jukwaani?
 
Sijatua hapa KIA tangu 2016. Jana nimetua hapa kwa mara nyingine. Kama ningezibwa macho nikasafirishwa mpaka hapa then nikaachiwa nione bila matangazo na mabango yaliyoko hapa kwa haraka haraka nisingeweza kutambua kama pale nilipokuwa ni KIA, asimilia kubwa
ya miundombinu imeboreshwa na imebadilika kutoka uhalisia wake wa awali kwa kiwango cha juu sana.

Pongezi kwa wote mliohusika kuleta mabadiliko haya, Japo sikukuta ndege kubwa pale uwanjani lakini nina uhakika madege makubwa kama yale ya Qatar yanaweza kutua pale kwa sasa.

Vyumba vya kupumzika wageni vimeongezwa na vinapendeza kwa ujumla wake vyote kwa upande wa wageni wa nje na ndani.

Ombi langu kwa serikali ruhusuni makampuni mengine ya ndege mfanye nayo ushindani hasa kwa safari za ndani, ATCL wana bei kubwa sana na timetable zao hazieleweki, ratiba inaweza kuonesha mnaondoka saa 4 asubuhi, mkaondoka saa 4 unusu au saa 5 na dakika zake.

Hongereni kampuni ya KADCO mnaoendesha uwanja wa ndege wa KIA.
Haufiki CHATO INTERNATIONAL AIRPORT.
 
Jf watu ni wanafiki ndugu yangu, unakuta mtu hajui kitu ili kuonesha yuko level za juu na yeye anaanza kubisha bila hata hoja za msingi mimi nimeangalia comment zake sijaona kinachomfanya anabisha specifically zaidi ya ule ubishi wa kujionesha na yeye ni mkwezi wa pipa
Ni changamoto 😆😆
 
Sasa si utoe taarifa kwa wahusika kupitia 'report' badala ya kulalamika kwangu. Au ugeni unakusumbua kama sio ID mpya?
Lengo lako wewe ni nini hasa la kuhariri comment zangu kabla hatujafika mbali? kwa nini uniqoute then ufute maneno yangu na uweke yako
 
Sidhani hata huo uwanja kama unaujua, nimefatilia mazungumzo yenu, hoja yako ni sehemu ya kusubiria abiria eti iongezwe hivi unaijua KIA kweli ya sasa? Ni bora ufate ushauri wa member hapo juu kakate tiketi ya mwendo kasi tu unatumisha misuli kubisha yawezekana sehemu yenyewe huijui unawezaje kusema waongeze sehemu ya kupumzikia wageni wakati tayari zipo tena za kutosha na bora kabisa na hazijawahi kujaa kwa wakati mmoja

Jaribu kujifunza kama hujui kitu hakuna ulazma wa kuonesha unajua kila kitu wakati hujui. KIA kuna maboresho makubwa sana na ndege zote kubwa zinatua pale kwa sasa tofauti na zamani kwa ambao wanapinga kama wewe ni kutaka kuonesha tu mmepanda ndege na yawezekana hata hamjawahi maana wengi wao ndio huwa wabishi kwa wasichokijua na kwa vile jf ina watu wa kujifanya mnajua kama nyie mnalazimika kubisha ili muonekane na nyie sio wageni kwenye kukwea pia.

NI UNAFIKI TU NA USHAMBA WA KUBISHA VITU MSIVYOJUA
Sasa povu la Nini wewe na mleta mada ndo vichwa ngumu yeye kaandika aliyoona Mimi napita hapo Mara nyingi naona bado wanaweza kuboresha zaidi na kufikia level za terminal three Sasa nyie mnapovuka Nini.
Shida mnafikiria kupanda ndege ni big deals Sana mfuuuuuu, msinichoshe mie wanaume suruali just simple logic you can't understand na kubadilisha kujua sijui kutokufahamu, na hata sijasoma utopolo wako Hadi mwisho
 
Huyo mdada mimi imebidi nimnyamazie naona wewe umempa makavu, Inawezekanaje uwe unatumia uwanja wa kiliminjaro airport halafu usione mabadiliko yaliyopo? namsubiri aendelee kubisha nimuulize alama muhimu zinazopatikana kwenye jengo la kusubiria ndege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee wewe ka mwanaume jiamini vizuri eti alama za ndege let me finds a simple pictures I have or video, kenge nyinyi
 
Mkuu seriously wewe unahitaji cancelling tafuta mtaalam hauko sawa, usiwe unapenda kujibishana ili uonekane tu umeongea PUMBA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sidhani hata huo uwanja kama unaujua, nimefatilia mazungumzo yenu, hoja yako ni sehemu ya kusubiria abiria eti iongezwe hivi unaijua KIA kweli ya sasa? Ni bora ufate ushauri wa member hapo juu kakate tiketi ya mwendo kasi tu unatumisha misuli kubisha yawezekana sehemu yenyewe huijui unawezaje kusema waongeze sehemu ya kupumzikia wageni wakati tayari zipo tena za kutosha na bora kabisa na hazijawahi kujaa kwa wakati mmoja

Jaribu kujifunza kama hujui kitu hakuna ulazma wa kuonesha unajua kila kitu wakati hujui. KIA kuna maboresho makubwa sana na ndege zote kubwa zinatua pale kwa sasa tofauti na zamani kwa ambao wanapinga kama wewe ni kutaka kuonesha tu mmepanda ndege na yawezekana hata hamjawahi maana wengi wao ndio huwa wabishi kwa wasichokijua na kwa vile jf ina watu wa kujifanya mnajua kama nyie mnalazimika kubisha ili muonekane na nyie sio wageni kwenye kukwea pia.

NI UNAFIKI TU NA USHAMBA WA KUBISHA VITU MSIVYOJUA
Kwani huu ni uwanja gani jamani maana mnalazimisha kitu out of context as if tunashindana kujua au kutokujua uwanja.
Screenshot_20200805-101618_1596612103141_1596612592380.jpg
Screenshot_20200805-102521_1596612510835.jpg
 
Back
Top Bottom