cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
This yearUmetua mara ya mwsho lin?
This yearUmetua mara ya mwsho lin?
Hahaa ...wakati wa kampeni huu ndugu " Natabiri kwamba katika miezi hii iliyobaki macho yetu yajiandae kushuhudia thread za namna hii mpaka kipindi cha uchaguzi mkuu kitakapo wasili ...so tuwe wavumilivu tu ijapo kuwa baadhi yetu tulio wengi tutakuwa tuna kereka maana kuvumili kudanganywa napo yataka uwe na degree ya ustahamilivuRequal,
Mkuu Kuna kitu gani kipya hapo KIA, labda Mimi ninapopita hapo macho yangu yanakuwa yanaumwa.
Uwanja unahitaji maboresho na kule kwa kusubiria flight kuongezwe ukubwa aisee bado patogo sanasina hakika kama umetua pale hivi karibuni
labda aibu ipi unaotia?
Sasa hayo mabadiliko ya mwendo wa Kobe ndio yaliyo kufanya uje humu na kuyasifia " Duhhh!!! Wananchi wa hili Taifa kazi tunayoNi pa kawaida mkuu sikatai ila hapafanani na palivyokuwa miaka 5 nyuma
Unaujua huu uwanja ulivokuwa before? Namaanisha pa kawaida kulinganisha na viwanja vya nchi za wenzetuSasa hayo mabadiliko ya mwendo wa Kobe ndio yaliyo kufanya uje humu na kuyasifia " Duhhh!!! Wananchi wa hili Taifa kazi tunayo
Napajua ndio kwani Mimi mgeni na hapo ... Lakini mabadiliko yaliyo fanywa hapo kwa level ya kimataifa bado sana still kuko localUnaujua huu uwanja ulivokuwa before? Namaanisha pa kawaida kulinganisha na viwanja vya nchi za wenzetu
Kama unavyoiona JNIA imefanyiwa mabadiliko hata pale yamefanyika lakini sioya kiwango cha JNIA
Kule mbona kupo siku nyingi na ninaona panatia aibu panahitaji kuboreshwa Tena heri hyo ya KIA Mwanza ndio aibu kabisa yanimkuu kule kuna sehemu kama 2 kwa sasa na ghorofa ya kwanza pia zipo sasa waongeje tena?
Na KIA inapokea international visitors wengi lakini kulivo hakuridhishi kabisa hata Dar Napo palikuwa hovyo Bora hyo Terminal three iko vizuri kwa kiasiNapajua ndio kwani Mimi mgeni na hapo ... Lakini mabadiliko yaliyo fanywa hapo kwa level ya kimataifa bado sana still kuko local
MKUU unachokiongea sio sahihi nadhani hujafika siku nyingiKule mbona kupo siku nyingi na ninaona panatia aibu panahitaji kuboreshwa Tena heri hyo ya KIA Mwanza ndio aibu kabisa yani
Sasa mbona tunaongea lugha moja unataka kulinganisha KIA na Tokyo Airport? na kwa hayo hayo mabadiliko ndege kubwa zote za kimataifa zinatua pale tofauti na zamaniNapajua ndio kwani Mimi mgeni na hapo ... Lakini mabadiliko yaliyo fanywa hapo kwa level ya kimataifa bado sana still kuko local
Mimi hivo unavo sema naona ni vitu vya kawaida na nimepita Mara nyingi karibuni tu, sioni kipya hapo au ulizoea viwanja vya mpanda na Uchochoroni huko. KIA inahitaji kutengenezwa level za terminal 3 na sio huo utopolo wa Sasa hiviMKUU unachokiongea sio sahihi nadhani hujafika siku nyingi
Hizi sehemu za kupumzikia abiria huku wakisubiri ndege ziko kiwango bora sana kwa sasa na tena mambo sio kama zamani ambapo wasafiri wa ndani walikuwa wanachangamana na wale wa kimataifa kwa sasa zimetenganishwa ni sehemu bora sana,kama umetua pale hivi karibuni ungejua.
Narudi jioni nitachukua video niweke hapa
kwa maneno haya nithibitishe tu hujawahi kupafikaMimi hivo unavo sema naona ni vitu vya kawaida na nimepita Mara nyingi karibuni tu, sioni kipya hapo au ulizoea viwanja vya mpanda na Uchochoroni huko. KIA inahitaji kutengenezwa level za terminal 3 na sio huo utopolo wa Sasa hivi
Binafsi kura yangu siwezi kuwapa CCM hata siku moja na wala sio muumini au mnazi wa siasa na yawezekana umepinga kwa mlengo huo lakini kama ungekuwa unapajua vizuri usingeandika hivi.Hahaa ...wakati wa kampeni huu ndugu " Natabiri kwamba katika miezi hii iliyobaki macho yetu yajiandae kushuhudia thread za namna hii mpaka kipindi cha uchaguzi mkuu kitakapo wasili ...so tuwe wavumilivu tu ijapo kuwa baadhi yetu tulio wengi tutakuwa tuna kereka maana kuvumili kudanganywa napo yataka uwe na degree ya ustahamilivu