cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Kumbe unashindana kupita nakwambia hyo airport nimepita Mara nyingi wewe ndo nakuona mgeni wa hapo na Mimi I see KIA deserve more than what it has for now. Wewe una force kingi tu jifunze wewe umeona hayo maboresho Mimi naona bado kabisa there is room for more improvement wewe waongelea kupita, it seems ndo umepita for the first time. KIA ikifamyiwa kwa ubora wa terminal three hapo nitaona kumefanyika Jambo Ila unavosifia kwa level ningesema ni chekechea.kwa maneno haya nithibitishe tu hujawahi kupafika