Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Ni kweli aisee hilo jina lake linaaibisha watu wengi ni bora angebadilisha atumie majina kama Pimbi,Kihiyo,Tajiri mzembe,kipofu,mkimbia fursa hayo yangemfaa zaidi.
Hayo ni maoni yangu tu,mjumbe hauwawi.
Kaniboa sana.

Sijui yupo first year huyu!
 
Napenda wanawake wa aina hiyo. Unasikia twende ukanito.... Au anakutumia papa limeloa uamue mwenye kujumlisha ama kutoa.

Hongera kwenu wanawake wote mnaoiomba kwa uhuru
 
Chakata mbususu jombaa acha uduanzi
 
Weka namba yake tumchambe vizuri.huyo Malaya au NI pm na namba yake.
 
Mwanamke wa hivyo anipite mbali kabisa
 
Hebu weka namba yake hapa wazee wamkanye😎😎
 
Pole sana mkuu,Nipe namba yake nimkanye mkuu.
 
Ukiombwa jua wewe ni rijali na anayekuomba ameshapewe story kuwa wewe una tabia ya kuwafikisha watu kileleni 😎.
Tabia gani..?
Wewe jamaa fanya kama una kazi ya kukaa kwa kiti achana nayo.
Tafuta kazi ya kuvuja jasho....

Mkuu umeanza kunikera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…