Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

We na huyo MWANAMKE MNA TOFAUTI GANI?...yaani kabisa unakuja kutuanzushia Uzi kwamba umeombwa sexx???....puuumbav
 
Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa
Huyo bidada umshukuru sana. itakuwa kashakuona domozege, unasukuma tu siku ziende, upoupo tu, haujielewi, ni chikumbalaga type kutwa unaishia kupapasa mipododo ya warembo hlf jamaa wengine ndo wanapiga. kaamua akusaidie.
 
Kwa nini aone haya kuomba sex? Wewe unaona haya unapomuomba sex mwanamke yeyote yule?
 
Ku Unataka nikuambie excuse niliyokuwa nayo? We ni shoga au mchicha mwiba?
 
🤣🤣🤣
 
Ku
Unataka nikuambie excuse niliyokuwa nayo? We ni shoga au mchicha mwiba?
Mimi ingejitokeza nafasi kama hiyo ningeonyesha urijali wangu nisingefanya upuuzi kama uliofanya wewe umeshindwa kusimama kama mwanaume uliyekamilika halafu unakuja kujitangaza huku ndio maana watu wanakuona kama hanithi au ubwabwa kwa lugha nyingine
 
Mwanaume aliyekamilika ni yule anayecommit dhambi ya uzinzi? By we are born different and we will different and everyone has own different fanya unachokiamini buda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…