Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

Kama hujazoe nenda kajizoeshe pale Sinza Kona Bar wanaomba mpk inashangaza 😛
 
Nipe Namba yake nimpe jibu ambalo hatowahi kukusahau!!
 
Mpeleke ustawi wa jamii kabisaa,maadili yapo wapi,utu upo wapi.
 
A
Kwa mwanamke aibu ila kwa mwanaume ushujaa dohh Dunia inaenda Kasi sana☺️
 
Ishawahi kukutokea?
 
Huwa sikasiriki kwa vitu vidogo kama hivyo mdogo wangu, kwenye maisha nimesha deal na watu more worse na psychopath kuliko.
Huyu hana u worse wowote ule ni utoto tu unamsumbua
 
Dogo mbona mshamba kihivyo, kuna shida gani mwanamke kukuomba kumlala? Unaacha kufurahia kakusaidia kujitongozesha kwako wewe unashangaa, vijana wa Dar bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…