Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Tuko wengi Kaka, sometimes naji fungiaga sitaki jau na watu🤒We nuna tuu mama.
Tena kwa mie ambaye kuna muda ninakuwa sitaki maongezi na kuchekeana.
Hii inakuwa poa.
Muhimu mwisho wa siku utoe ushirikiano.
Speak Chinese 🤒Take good care of yourself, so if your wife fall on your arms you will be strong enough to hold her everything...😋
Kama unakata mafundo anza mapema ili aone kawaida na pia usizoee kuludi mapema nyumbani na kamwe usimwambie malupu lupu yoyote unayoyapata katika mishe zako we kama mahitaji fanya kama kawaidaWakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
0713 mwiko.Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Muda wote kumbuka nyie sio malaika na hauishi na malaika.Wapi sasa muda wowote au ugomvi ukitokea
Hata kapipi tunafurahKwa hiyo Babu unatumia sana hiyo "mbwinu eeh".
On a serious note; s'times ni rahisi sana kumfanya mkeo afurahi. Yaani hata Ile umemnunulia ka-muhindi ka kuchoma; tunafurahi kwelikweli. Ile tu mtu amenifikiria, akaamua kuniletea zawadi jamani.
Acha tu nipambane huku Buza kwetu😀Yuko mars, ada ya kwenda kupitia space x rocket ya Elon musk ni USD 5m,
Vipi tuku Katie ticket🤣😂
Bahati mbaya ndiyo tumezeeka sasa, japo tunajitahidi kutoa seminar Kwa Vijana walau waanze kujifunza na ku-practice kabla jua la umri wetu halijazama kabisa 😜🤗Mnapatikana sayari gani nyie jamani 😀 zawadi ni kitu muhimu, hufurahisha moyo na kufeel you're loved and always on his/her mind, hata ikiwa pipi tu😍
Hah jamaa Eminem sio wa kumsikiliza,sijui Kim alimfanya Nini,kwenye Space Bond Kuna mistari miwili,mmoja anasemaUsi mdanganye, Eminem Kwenye monster ana sema, am not here to save any fu..ng kid.
But if one kid out of 100 million, who are going througha struggle, feels it and then relate, that great.
Itakuwa nigga Ali penda kinyamwezi, halafu aka kuta uozo tu.Hah jamaa Eminem sio wa kumsikiliza,sijui Kim alimfanya Nini,kwenye Space Bond Kuna mistari miwili,mmoja anasema
"Don't ask me why I have no love for these mo'fuckin' ho's,mwingine anasema Love is Evol(Evil)spell backwards I'll show ya
Namba moja mi hoi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Andika urithi
Asijue kipato chako
Usilete ndugu kwako waishi
Asijue ratiba yako
Usiache kumpa zawad
Msifie kila siku
Mwpe hela
Mtoe out
Usile housegirl
Nunua magari mawili
Usimtafutie kazi
Mlipe mshahara
Kila siku acha hela mezani...
Nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakikisha anadeki nyumba yote, anafua nguo zote mpaka na mazulia, afagie uwa na kukata nyasi, apike Milo yote mitatu, afute mabuibui na kusafisha vioo, alime mboga mboga, amuoshe mbwa na kumpikia mbwa, asisuke Bali uwe unamnyoa na wembe, asiende sokoni Bali uwe unamletea kila kitu.
Mwisho hakikisha ndani ya miaka 3 awe na watoto 3.
Hakikisha hajipaki mafuta zaidi ya mafuta ya kula.
Fanya hivyo mkuu utanishukuru baadae usimwonee mwanamke huruma kwenye majukumu yake yalio kwenye maandiko na kumtaftia msaidizi.