Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Kufunga mwanamke Kwa kizazi hiki ni ngumu,
Usimchunguze saana
Hakikisha marafiki wake sio wahuni
Hakikisha hainui mguu kutoka bila ridhaa yako.
Uwe na Hela usiwe nazo utachapiwa
Abadilishe namba yake ya simu ya mwanzo.
Asikuambie usiguse simu yake
Kipato kikipungua utaibiwa mzigo
Heshima ya mume ni pesa.
Usi entart ain kwenda kwao mara Kwa mara .
Usimpendw mwanamke kuliko unavyojipenda.
Mwamini asilimia 15 kuwa ni mwaminifu
Tafuta mchepuko mmja

Kama hukumkuta bikra jua ,utakuja kushea.
Fanya mazoezi
Kula vizuri
Yeye sio malaika
Hakikisha ana shughuli ya kufanya
Mapato yake yawe wazi
 
Zawadi ni kitu muhimu sana kwenye maisha ya Ndoa.

Ukikosa zawadi ya laki 1 mpelekee hata Ice cream ya Barhessa.

Huwa inasaidia sana kumfanya mwenza wako kuwa na furaha
Mnapatikana sayari gani nyie jamani 😀 zawadi ni kitu muhimu, hufurahisha moyo na kufeel you're loved and always on his/her mind, hata ikiwa pipi tu😍
 
Sio Mambo makubwa ambayo Anahitaji

Mpikie chai ukiwa na muda
Say something funny every day,
Usisahau siku yake ya kuzaliwa,
Fungua akaunti ya pamoja,
Mnunulie nguo(Kama zawadi),
Learn to smile,
Usimpige,she will get used to it
Be a gentleman,

Ombi langu Mungu akubariki utuumbue "KATAA NDOA"
 
Back
Top Bottom