Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Bahati mbaya ndiyo tumezeeka sasa, japo tunajitahidi kutoa seminar Kwa Vijana walau waanze kujifunza na ku-practice kabla jua la umri wetu halijazama kabisa 😜🤗

Zawadi hufanya hata kama mwenza wako alikuwa moodless kukupa chakula cha usiku basi atakupa tu Siku hiyo 😜

Japo utafiti unaonesha hata Sisi Wanaume hupenda kuletewa zawadi, iwe ni Saa/Wallet/Boksa/Mkanda n.k

Kwahiyo ni two way event

Kwa Wanandoa/Wapenzi wajao hili ni somo la kujifunza
Aisee, kiukweli watu wote tupeane zawadi ni kitu muhimu, ila zawadi zetu si mnazijua? Boxer, mkanda,perfume now tumeimprove kidogo kuna Saa classic na nguo, nyie tupeni tu hata Iphone 15 etc😀🏃‍♀️
 
Hahahaha.......................Wanaume tunainjoi sana kupewa zawadi na Wapenzi wetu wa Kike.

Ila sijui kwanini huwa hamjiongezi, ninaweza nikakupa hela maybe 250k uliniomba ya kutumia. Lakini kutoa maybe shilingi 15,000 kwenye hizo ukaninunulia wallet ya Zawadi huwa mnashindwa kabisa.

Unakuta hela yote unaipeleka Vikoba tu 😜

Hamjui kwamba zawadi yako ya Wallet ya 15,000 inaweza kumfanya Mwanaume akahamishia kabisa Moyo wake kwako, ukawa unatembea na Moyo wa Mtoto wa Mama Mkwe 🤗🏃🏃
 
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Usifanye naye wala kumwomba mapenzi kinyume na maumbile, yaani usimwombe tigo.
 
Hahahaha.......................Wanaume tunainjoi sana kupewa zawadi na Wapenzi wetu wa Kike.

Ila sijui kwanini huwa hamjiongezi, ninaweza nikakupa hela maybe 250k uliniomba ya kutumia. Lakini kutoa maybe shilingi 15,000 kwenye hizo ukaninunulia wallet ya Zawadi huwa mnashindwa kabisa.

Unakuta hela yote unaipeleka Vikoba tu 😜

Hamjui kwamba zawadi yako ya Wallet ya 15,000 inaweza kumfanya Mwanaume akahamishia kabisa Moyo wake kwako, ukawa unatembea na Moyo wa Mtoto wa Mama Mkwe 🤗🏃🏃
Hahaha tutaanza kujiongeza mkuu, wallet ya 15 itushinde kweli😀😀 tutajitahidi.
 
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya.
2)Uwe na msimamo mkali hata kama msimamo huo unakughalimu.
3)Usile chakula alichopika Beki tatu maana ukila tu ujue ipo siku utamla na yeye.
4)Fanya dhambi zozote zile lkn uzijue wewe na Mungu wako tu Mke asijue hata kidogo.
 
*Hakikisha ukicheat asijue
*Ukibaniwa mapaja hakikisha una uwezo wakuvumilia usije ukamropokea hovyo, yakikushinda chepuka kwa akili sana
  • Ukiona ndoa inakaribia kuvunjika andika urithi haraka kuepusha kugawana mali
  • Usimfungulie biashara ukamwambia ni yake, ajue ni ya familia
*Ficha kipato chako asijue chote kwa asilimia 100%
*Usikubali 50/50 au story zinazo fanana na hizo pinga vikali
*Usimruhusu awe na marafiki wengi/azoeleke hovyo
*Hela zake achana nazo usizipigie mahesabu utazitumia indirect tena kwa akili sana
*Msikilize ila mwamuzi wa mwisho ni wewe
* Usiwe wa kutabirika, kwanzia kwenye kipato, maamuzi, muda wa kurudi nyumbani
*Usipende kushinda nae sana nyumbani kama ikitokea uko off duty nenda kijiweni kasalimie masela alafu urudi na mfuko wa machungwa
  • Usiwe mwepesi kupiga mke wala kukasirika
  • Kuchapiwa ni siri ya ndani ukijua umechapiwa usimsamehe
  • Usiruhusu dada zako wakawa karibu nae sana au kuja kudhurua hapo kwako
  • Usijenge kwao wala kusomesha ndugu zake
*Cheza kwa akili na kamwe usitumie hisia kuishi na mwanamke
*Mjali sana na usimwonyeshe kama unampenda sana
  • Usiingilie majukumu yake labda tubawe anaumwa na hajiwezi kabisa
  • Usibishane na mwanamke
*Jifunze kutokuwa na hasira na kupanic kuwaua hawa viumbe ni rahisi sana
  • Siku zote mwanamke ni kama mtoto anahitaji kuongozwa, kamwe usimchukulie kama ni mtu mzima mwezako hata kama analimwili likubwa
  • Daima ichape mpaka itoe moshi, mwanamke anapigwa kwa fimbo ya nyama, hata kama umechoka akikupa wewe usikatae
  • Usikae na mkeo jikoni utamlaumu bure
  • Kam una house girl jitahidi mkeo akitoka na wewe utoke usishinde nyumbani
*Tafuta hela sana kwa akili huku ukimtanguliza Mungu
  • Usimruhusu mkeo aanze kwenda kutangatanga kwenye nyumba za ibada
  • Ukipewa chakula na mkeo hata kama umeshiba usikatae kula japo kidogo
 
Hakuna kanuni ya maisha ya ndoa itakayokufaa wewe na huyo!!

Inategemea wewe ni mtu WA aina Gani na yeye yupoje!!

Demokrasia ndio msingi was ndoa na sio ubabe!!

Ukitaka kuishi maisha marefu uwe demokrasia ndani ya nyumba,usiamue mengi mwenyewe coz huyo ni msaidizi wako Sasa kama Kila kitu ukifanya mwenyewe hakuna haja ya kuwa nae!!!

Kama wewe ni mtumishi mpe bajeti ya mwezi mzima Kwa kadri ya matumizi yenu!!na umwambie asimamie ile bajeti mliyoiweka!!

Usimruhusu akae tu nyumbani kama golikipa muulize Kuna kitu gani anaweza Fanya Kwa ajili ya familia yake mbali na kupika na kupakua!!!

Duka la vyakula mchanganyiko ni zuri akisimamia!

Kwanini !!!?ye ndio atalea wanao na wanao watajifunza kuuza na kununua mapema na huo ndio msingi was maisha!!

Usiogope mwanamke kushika pesa,hiyo itakusaidia kujua tabia zake mapema kuliko ajifiche uje ujue uzeeni kwamba pesa zinamsummbua!!

KAMA HUYO NI WAKO KWELI MUNGU ALIKUPA MTADUMU BILA KUJALI NADHARIA ULIZOSIKIA NA KUJARIBU KAMA SIO NI SIO TU!

USIOGOPE MWANAMKE KUSHIKA PESA AU BIASHARA MWAMBIE AFANYE KWAAJILI YA FAMILIA YAKE SIO KWA AJILI YAKE MWENYEWE!!!!

nakutakia maisha mema!!
 
Andika urithi
Asijue kipato chako
Usilete ndugu kwako waishi
Asijue ratiba yako
Usiache kumpa zawad
Msifie kila siku
Mwpe hela
Mtoe out
Usile housegirl
Nunua magari mawili
Usimtafutie kazi
Mlipe mshahara
Kila siku acha hela mezani...
Humu kuna matango pori na yale yalimwayo. Chagua yalimwayo tu.
 
Usikubali mkeo akutolee chozi kwa kuzingua kwako, aisee Maombi yao yanasikilizwa sana

Ukiyatimba yatengeneze haraka
Mwana umenena kwa kweli. Na chanzo cha usaliti huwa ni hapahapa.

Mwanaume unayatimba halafu unajifanya mbabe. Atanyamaza ila akipata nafasi ya kushauriwa na mwanaume mwenzako tu, ameliwa naye.

Kumaliza tofauti kati ya wanandoa ni muhimu sana tena kwa wakati.
 
1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya.
2)Uwe na msimamo mkali hata kama msimamo huo unakughalimu.
3)Usile chakula alichopika Beki tatu maana ukila tu ujue ipo siku utamla na yeye.
4)Fanya dhambi zozote zile lkn uzijue wewe na Mungu wako tu Mke asijue hata kidogo.
Naanza na hii namba moja✅
 
Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Ndoa yangu ina miaka mingi kidogo sio muda tutafikisha 20 yrs, kumeshakuwepo na ups and down, hata vikombe kwenye kabati kuna wakati vinakwazana but all in all, siwezi kuishi bila ndoa, na siwezi kuishi bila huyu mwanamke. ana mapungufu mengi, ila mazuri mengi zaidi, mimi pia nina mapungufu mengi na mazuri mengi zaidi bila shaka. imefika kipindi tukasomana,tukajuana limits na kujuana namna ya kuishi hadi tumekuwa mwili mmoja. haya ni maisha ya dunia. Mungu anaelekeza wanaume tuwapende wake zetu, na wake zetu zaidi ya kutupenda wanatakiwa watutii. sisi hatutakiwi kuwatii wake zetu kwasababu sisi ni kichwa, tuwapende, ukimpenda mkeo, hautamcheat, hautampiga, hautamwangalia kwa jicho baya, utamvumilia na kuchukuliana na mapungufu yake, utamfichia aibu yake, utamjali na kumtunza kama mtoto wako. naamni jukumu la kuwapenda tulilipewa wanaume ni kubwa zaidi ya lile la wao kututii (though wanatakiwa kututii yale yaliyo mapenzi ya Mungu).

Waebrania 13:4 INASEMA, Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waacherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Nakuasa, ukitaka ufanikiwe katika ndoa yako, HESHIMU NDOA YAKO, linda ndoa yako, usiruhusu uzinzi au uasherati kwasababu uasherati na uzinzi Mungu atakuhukumia adhabu hakika. Pia anaposema malazi yawe safi, hakikisha matendo yenu mnayafanya kwa usafi, achana na matendo ya ndoa machafu, kuna watu wanaangalia kwanga porn ndio waendelee na tendo, kuna watu wanaingiliana kinyume na maumbile, kuna watu wanafanya uzinzi hadi mashindano kwenye ndoa, jueni ya kwamba, malazi yenu lazima yawe safi na kimbia uzinzi na uasherani kuliko chochote, la sivyo Mungu atakuhukumia adhabu. huu ndio ushauri mkubwa ambao naweza kukushauri.

Mkeo hata kama ana mapungufu, ni wako, mtetee, mpambanie, mfichie aibu na madhaifu, kwasababu na wewe sio mkamilifu. pia, jitahidi sana kusamehe ili na wewe usamehewe, ukimkosea, be fair, mwambie hapo nimekukosea nisamehe, na yeye akikukosea, awe fair akuombe radhi, communication is the most important aspect kwenye ndoa, mambo ya kununiana nuniana hayajengi ndoa, ukiwa na dukuduku mwite, mkae mweleze mjadili, pengine ana hoja au pengine wewe una hoja, mnaweza kununiana karibia siku tatu kama watoto wadogo na mkija kukaa na kupeana hoja kwanini imekuwa hivyo, mnajikuta siku ile ile ya kwanza mngepeana opportunity kila mtu kuyamaliza kwa mazungumzo mngeshayamaliza dakika ileile.

ukiishi na mwanamke, usiishi kama yeye ni malaika, ana mapungufu mengi, na anakutegemea, akikosea usifoke, ongea, jadili, samehe, rekebisha kwa maneno sio kwa vitendo, ubabe kwetu sisi wanaume haujawahi kusolve chochote, zaidi sana huwa unaziba midomo ya wanawake wasiwe wazi hata kwa mambo ambayo ungeyajua juu yao. maisha ni rahisi sana hamna haja ya kucomplicate, alimradi tu asikuendeshe as if yeye ndio baba wa familia, na hapo napo panahitaji hekima tu na kuweka mipaka, wala huhitaji ngumi, matusi, visasi, visirani n.k. Mungu awasaidie.
 
Huu ni ushauri bora hapa
 
Back
Top Bottom