financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aisee, kiukweli watu wote tupeane zawadi ni kitu muhimu, ila zawadi zetu si mnazijua? Boxer, mkanda,perfume now tumeimprove kidogo kuna Saa classic na nguo, nyie tupeni tu hata Iphone 15 etcππββοΈBahati mbaya ndiyo tumezeeka sasa, japo tunajitahidi kutoa seminar Kwa Vijana walau waanze kujifunza na ku-practice kabla jua la umri wetu halijazama kabisa ππ€
Zawadi hufanya hata kama mwenza wako alikuwa moodless kukupa chakula cha usiku basi atakupa tu Siku hiyo π
Japo utafiti unaonesha hata Sisi Wanaume hupenda kuletewa zawadi, iwe ni Saa/Wallet/Boksa/Mkanda n.k
Kwahiyo ni two way event
Kwa Wanandoa/Wapenzi wajao hili ni somo la kujifunza
Hahahaha.......................Wanaume tunainjoi sana kupewa zawadi na Wapenzi wetu wa Kike.Aisee, kiukweli watu wote tupeane zawadi ni kitu muhimu, ila zawadi zetu si mnazijua? Boxer, mkanda,perfume now tumeimprove kidogo kuna Saa classic na nguo, nyie tupeni tu hata Iphone 15 etcππββοΈ
Usifanye naye wala kumwomba mapenzi kinyume na maumbile, yaani usimwombe tigo.Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Mmhh!! Kuna nn hapo naona comment za hivi ni nyingiUsifanye naye wala kumwomba mapenzi kinyume na maumbile, yaani usimwombe tigo.
Mke wako wa ndani kabisa utamla vipi tigo Seikh?? wewe hata akilini unaona inakuja hiyo?Mmhh!! Kuna nn hapo naona comment za hivi ni nyingi
mi sifanyi wala sijawai fikiri kwa yyte!!Mke wako wa ndani kabisa utamla vipi tigo Seikh?? wewe hata akilini unaona inakuja hiyo?
Hahaha tutaanza kujiongeza mkuu, wallet ya 15 itushinde kweliππ tutajitahidi.Hahahaha.......................Wanaume tunainjoi sana kupewa zawadi na Wapenzi wetu wa Kike.
Ila sijui kwanini huwa hamjiongezi, ninaweza nikakupa hela maybe 250k uliniomba ya kutumia. Lakini kutoa maybe shilingi 15,000 kwenye hizo ukaninunulia wallet ya Zawadi huwa mnashindwa kabisa.
Unakuta hela yote unaipeleka Vikoba tu π
Hamjui kwamba zawadi yako ya Wallet ya 15,000 inaweza kumfanya Mwanaume akahamishia kabisa Moyo wake kwako, ukawa unatembea na Moyo wa Mtoto wa Mama Mkwe π€ππ
Hapo sawa.......maisha yenyewe ndiyo haya haya πHahaha tutaanza kujiongeza mkuu, wallet ya 15 itushinde kweliππ tutajitahidi.
1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya.Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Humu kuna matango pori na yale yalimwayo. Chagua yalimwayo tu.Andika urithi
Asijue kipato chako
Usilete ndugu kwako waishi
Asijue ratiba yako
Usiache kumpa zawad
Msifie kila siku
Mwpe hela
Mtoe out
Usile housegirl
Nunua magari mawili
Usimtafutie kazi
Mlipe mshahara
Kila siku acha hela mezani...
Mwana umenena kwa kweli. Na chanzo cha usaliti huwa ni hapahapa.Usikubali mkeo akutolee chozi kwa kuzingua kwako, aisee Maombi yao yanasikilizwa sana
Ukiyatimba yatengeneze haraka
Isiookuwa mimi.Uzuri JF wote tunaweza kuwa na magari
Naanza na hii namba mojaβ1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya.
2)Uwe na msimamo mkali hata kama msimamo huo unakughalimu.
3)Usile chakula alichopika Beki tatu maana ukila tu ujue ipo siku utamla na yeye.
4)Fanya dhambi zozote zile lkn uzijue wewe na Mungu wako tu Mke asijue hata kidogo.
Ndoa yangu ina miaka mingi kidogo sio muda tutafikisha 20 yrs, kumeshakuwepo na ups and down, hata vikombe kwenye kabati kuna wakati vinakwazana but all in all, siwezi kuishi bila ndoa, na siwezi kuishi bila huyu mwanamke. ana mapungufu mengi, ila mazuri mengi zaidi, mimi pia nina mapungufu mengi na mazuri mengi zaidi bila shaka. imefika kipindi tukasomana,tukajuana limits na kujuana namna ya kuishi hadi tumekuwa mwili mmoja. haya ni maisha ya dunia. Mungu anaelekeza wanaume tuwapende wake zetu, na wake zetu zaidi ya kutupenda wanatakiwa watutii. sisi hatutakiwi kuwatii wake zetu kwasababu sisi ni kichwa, tuwapende, ukimpenda mkeo, hautamcheat, hautampiga, hautamwangalia kwa jicho baya, utamvumilia na kuchukuliana na mapungufu yake, utamfichia aibu yake, utamjali na kumtunza kama mtoto wako. naamni jukumu la kuwapenda tulilipewa wanaume ni kubwa zaidi ya lile la wao kututii (though wanatakiwa kututii yale yaliyo mapenzi ya Mungu).Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Huu ni ushauri bora hapaNdoa yangu ina miaka mingi kidogo sio muda tutafikisha 20 yrs, kumeshakuwepo na ups and down, hata vikombe kwenye kabati kuna wakati vinakwazana but all in all, siwezi kuishi bila ndoa, na siwezi kuishi bila huyu mwanamke. ana mapungufu mengi, ila mazuri mengi zaidi, mimi pia nina mapungufu mengi na mazuri mengi zaidi bila shaka. imefika kipindi tukasomana,tukajuana limits na kujuana namna ya kuishi hadi tumekuwa mwili mmoja. haya ni maisha ya dunia. Mungu anaelekeza wanaume tuwapende wake zetu, na wake zetu zaidi ya kutupenda wanatakiwa watutii. sisi hatutakiwi kuwatii wake zetu kwasababu sisi ni kichwa, tuwapende, ukimpenda mkeo, hautamcheat, hautampiga, hautamwangalia kwa jicho baya, utamvumilia na kuchukuliana na mapungufu yake, utamfichia aibu yake, utamjali na kumtunza kama mtoto wako. naamni jukumu la kuwapenda tulilipewa wanaume ni kubwa zaidi ya lile la wao kututii (though wanatakiwa kututii yale yaliyo mapenzi ya Mungu).
Waebrania 13:4 INASEMA, Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waacherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
Nakuasa, ukitaka ufanikiwe katika ndoa yako, HESHIMU NDOA YAKO, linda ndoa yako, usiruhusu uzinzi au uasherati kwasababu uasherati na uzinzi Mungu atakuhukumia adhabu hakika. Pia anaposema malazi yawe safi, hakikisha matendo yenu mnayafanya kwa usafi, achana na matendo ya ndoa machafu, kuna watu wanaangalia kwanga porn ndio waendelee na tendo, kuna watu wanaingiliana kinyume na maumbile, kuna watu wanafanya uzinzi hadi mashindano kwenye ndoa, jueni ya kwamba, malazi yenu lazima yawe safi na kimbia uzinzi na uasherani kuliko chochote, la sivyo Mungu atakuhukumia adhabu. huu ndio ushauri mkubwa ambao naweza kukushauri.
Mkeo hata kama ana mapungufu, ni wako, mtetee, mpambanie, mfichie aibu na madhaifu, kwasababu na wewe sio mkamilifu. pia, jitahidi sana kusamehe ili na wewe usamehewe, ukimkosea, be fair, mwambie hapo nimekukosea nisamehe, na yeye akikukosea, awe fair akuombe radhi, communication is the most important aspect kwenye ndoa, mambo ya kununiana nuniana hayajengi ndoa, ukiwa na dukuduku mwite, mkae mweleze mjadili, pengine ana hoja au pengine wewe una hoja, mnaweza kununiana karibia siku tatu kama watoto wadogo na mkija kukaa na kupeana hoja kwanini imekuwa hivyo, mnajikuta siku ile ile ya kwanza mngepeana opportunity kila mtu kuyamaliza kwa mazungumzo mngeshayamaliza dakika ileile.
ukiishi na mwanamke, usiishi kama yeye ni malaika, ana mapungufu mengi, na anakutegemea, akikosea usifoke, ongea, jadili, samehe, rekebisha kwa maneno sio kwa vitendo, ubabe kwetu sisi wanaume haujawahi kusolve chochote, zaidi sana huwa unaziba midomo ya wanawake wasiwe wazi hata kwa mambo ambayo ungeyajua juu yao. maisha ni rahisi sana hamna haja ya kucomplicate, alimradi tu asikuendeshe as if yeye ndio baba wa familia, na hapo napo panahitaji hekima tu na kuweka mipaka, wala huhitaji ngumi, matusi, visasi, visirani n.k. Mungu awasaidie.
Ewaaaaa; ni ile tu mtu amekuwazia...Hata kapipi tunafurah