Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Sasa hivi inatakiwa uanze kutumia akili
 
Like your mom or your wife?
My mom was a teacher, she has already retired. My pop used to tell me kwamba either mkeo awe homewife au kama ni kazi basi awe nurse au primary school teacher. Gladly, mine nilimuachisha kazi wakati ndoa yetu ikiwa changa. She resisted sana ila it was for greater good. Saivi alhamdulilah kanawili sio kama wenzake ambao bado wako kazini.
 
Siku moja moja unampakia mkongo , kumpoteza maboya. (It's a sex decoy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…