Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mr Genius 🙄Average mind....wale wale tu..imagn na wanao wameridhi akili zako...hao waalimu wanashida sanaa
Sana..wana adabu mnoWamelelewa kwa misingi mizuri
Ukisema ujidai msafi sana kila wakichafua unasafisha, lazima mgongo upinde hapo panadol zitakuwa zinakuhusu kila sikuKupunguza kero najifanya naumwa ili watulie walau kidogo... Sofa wamevunja, nimewapambia kamti ka krismas kamenyofolewa kote sebule iko Kama karakana
Kweli, hawatupati hata robo. Mie nikikaa nikiwaza nilivokua mtundu hatari. Kila siku kesi.Madogo naona wako kawaida tuu ila hapa wanavyo hadithiwa utadhani ni mazombie
Sisi wakati wetu tulikuwa tuna kwea mpka minazi 😄
Hawa wazee wa sahv wana lalamika mtt kuchezea remoteKweli, hawatupati hata robo. Mie nikikaa nikiwaza nilivokua mtundu hatari. Kila siku kesi.
Yaani hawa wtt wangu hamna alonifikia hata nusu ya utundu wangu.
Mie ndio nilikuwa wa kike pekee lkn huo utundu wangu hao kaka zangu hawajawahi kunifikia.
😂Hii sio chai ni ukweli mtupu watoto raha hivi zile clip za mtoto kachezea kopo la rangi akapaka makochi yote na yeye akaoga rangi unafikiri uongo, mmoja alioga rangi akaenda kumuonyesha mama yake
Mmoja alichukua simu ya mama yake smartphone si unajua vyombo hua vinaoshwa na yeye akaibeba akaenda kuiosha saaafi kabisa kwenye kibeseni kisha akamaliza akaiweka kabatini akaenda kumuita mama yake aje aone alivyomuoshea simu yake mama yake alikua amelala alichoenda kukiona alifurahi mwenyewe, watoto rahaWtt ni malaika 😂😂😂
😂Watoto wamevurugwa kama wazazi wao basi tafrani🤣🤣🤣
Muheshimiwa rais ikikupendeza shule zifunguliwe March kabisa.
Hasara, na akiwa mdogo ndio hujui hata umfanye niniMmoja alichukua simu ya mama yake smartphone si unajua vyombo hua vinaoshwa na yeye akaibeba akaenda kuiosha saaafi kabisa kwenye kibeseni kisha akamaliza akaiweka kabatini akaenda kumuita mama yake aje aone alivyomuoshea simu yake mama yake alikua amelala alichoenda kukiona alifurahi mwenyewe, watoto raha
Wateja kama wateja🤣🤣🤣🤣
Watoto ni malaika
Mimi jumla ya watoto waliokuja likizo wapo 8 sasa huo mziki wake hapa nyumbani majirani wamesema na inaonekana Bado watasema sana mpaka hiyo January
watoto wa kishua hao, tray ya mayai uku kweti inatoka wapi?