Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
- Thread starter
- #121
Wakuu
Kwanza ninawashukuru sana kwa michango yenu..Ninawashukuru wote mlionipongeza na kunitakia kusonga mbele.
Kwa wale wanaotaka nidisclose my identity hasa Kiranga na Nyani Ngabu.Wamefika hatua wanaongea mengi sana kwamba eti sijiamini.Kwanza nineseme kwamba,nimeamua kwa utashi wangu kutojitokeza hadharani kwa sasa kwakuwa tayari nilijificha tangu mwanzo hivyo sina sababu ya kujitoa sasa.Wakati ukifika nitatoka kwa jina langu halisi na hili ninalotumia sasa litaendelea kutumika kama kawaida.Basdhi yetu wametoa mifano ya kina Dr Slaa na Kina Zitto kwamba wanatumia majina yao halisi.Wao wanatumia hivyo kwakuwa wao ni public figures but am not.Sijajificha eti kwa kuwa sijiamini,ninajiamini sana tena sana na ndio maana nimediriki kuthubutu kugombea.Sina rekodi yeyote chafu kwani mimi sio muumini wa mambo machafu.Nimekulia kwenye maadili ya dini na ninaamini katika usafi.Am very pure katika nyanja zote,I assure you Kiranga.Sijaamua kufanya hivyo kwakuwa sioni sababu ya kufanya hivyo.Nina njia nyingi tu za watu kunifahamu,sio lazima iwe hapa. Mtu yeyote mpenda maendeleo sio lazima umfahamu mtu physically ndio umuunge mkono,you can support me hata kwa kufahamu mawazo yangu tu.Wengi tu humu mnafahamu misimamo yangu hivyo sio lazima mnifhamu physically ndio mniunge mkono.Kiranga tena wewe ni rafiki yangu humu ulithubutu kuniomba urafiki humu JF,kwanini usiniamini sasa?mpaka useme kwamba mnachezewa mchezo wa kuigiza?Am very serious ninagombea,na ninatarajia kushinda...Naomba mniunge mkono if you want to.