Elections 2010 Nimeshinda Kura za maoni Kuipepersuha Bendera ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Huo ni mtazamo wako.Kwangu mimi itabaki vile vile kwamba i wanted to comment seriously lakini kwasababu fulani fulani nikaona nisicomment,kama wewe unaona hivyo ni comment basi ni wewe to me sio.Huwa naweza kukabiliana na challenges mbalimbali lakini sio hizi za kulazimishana...Kama wewe unaona siziwezi its ok,mimi mwenyewe najitambua.Ubarikiwe sana...

Tatizo sio wewe mwenyewe kujitambua kwamba unaweza challenge, kila mtu anaweza kusema hivyo. Tatizo unaweza kutushawishi sisi vipi kwamba unaweza ku deal na challenges za real life bungeni na jimboni wakati challenges za JF tu zinakushinda kuzi address?

Mtazamo wangu ni muhimu, huwezi kusema "huo ni mtazamo wako" kama vile si muhimu, wewe kama ni kiongozi wa watu unatakiwa kujali mitazamo ya watu.Ukianza kwa kusema "huo ni mtazamo wako" unanipa mashaka kama utaweza kwenda bungeni kuwakilisha mitazamo ya wananchi. Kama mtazamo wangu ni potofu una haki ya kuukosoa na kuniambia kwa nini ni potofu, lakini ukisema "huo ni mtazamo wako" unanipa picha kwamba wewe hutaki dialogue na watu, na mtu akikupinga tu unasema "huo ni mtazamo wako" case closed. Utaweza kuwakilisha watu ?

Haya unasema ulitaka ku comment seriously, lakini kwa sababu fulani fulani hukuweza, basi tuambie hata hizo sababu tukuelewe, ndugu yetu anataka ku comment lakini kwa sababu hii na ile hawezi. Wewe ku comment hutaki, kutoa jina hutaki, kutoa jimbo hutaki, halafu hata sababu ya usiri hutupi.

Ndiyo maana tunapata mashaka, kuna kitu unaficha? Au hujiamini tu? Sasa kwa nini ulikuja kutuambia kwamba unagombea ubunge? Au ulitaka celebrity tu bila kuifanyia kazi inayotakika ?

Challenge ndogo tu ya kujibiana toe to teo hapa JF inakushinda sasa challenge gani unakabiliana nazo, ooh wait, or is that top secret too ?

Mimi naona wewe na Shyrose hamchekani, wote mnataka kuingia katika siasa lakini mikiki yake hamuiwezi.
 
Wos my bad ..........alotoa big up kwa Ms Banji ni Gender Sensitive

vibes mnazotoa hapa JF zinafanana ndio nikateleza....kumradhi

Noted...Ila hapo juuu rekebisha weka si Gender Sensitive
 
Sawa tu.Endelea kuwa na wasiwasi mpaka mwisho..Hakuna Kulala mpaka kieleweke.
Mi nnachakushauri ni kwamba uwe na confidence na kile unachokiamini!! sasa kama unaniacha niwe na wasiwasi unategemea ntakusuport vp? Yaani keyboard ya Kiranga imekutoa machozi sasa ikifika kwenye face to face na wananchi itakuaje?
 
hivi gender sensitive ni mwanamke au mwanamme?
 
Tatizo sio wewe mwenyewe kujitambua kwamba unaweza challenge, kila mtu anaweza kusema hivyo. Tatizo unaweza kutushawishi sisi vipi kwamba unaweza ku deal na challenges za real life bungeni na jimboni wakati challenges za JF tu zinakushinda kuzi address?

Mtazamo wangu ni muhimu, huwezi kusema "huo ni mtazamo wako" kama vile si muhimu, wewe kama ni kiongozi wa watu unatakiwa kujali mitazamo ya watu.Ukianza kwa kusema "huo ni mtazamo wako" unanipa mashaka kama utaweza kwenda bungeni kuwakilisha mitazamo ya wananchi. Kama mtazamo wangu ni potofu una haki ya kuukosoa na kuniambia kwa nini ni potofu, lakini ukisema "huo ni mtazamo wako" unanipa picha kwamba wewe hutaki dialogue na watu, na mtu akikupinga tu unasema "huo ni mtazamo wako" case closed. Utaweza kuwakilisha watu ?

Haya unasema ulitaka ku comment seriously, lakini kwa sababu fulani fulani hukuweza, basi tuambie hata hizo sababu tukuelewe, ndugu yetu anataka ku comment lakini kwa sababu hii na ile hawezi. Wewe ku comment hutaki, kutoa jina hutaki, kutoa jimbo hutaki, halafu hata sababu ya usiri hutupi.

Ndiyo maana tunapata mashaka, kuna kitu unaficha? Au hujiamini tu? Sasa kwa nini ulikuja kutuambia kwamba unagombea ubunge? Au ulitaka celebrity tu bila kuifanyia kazi inayotakika ?

Challenge ndogo tu ya kujibiana toe to teo hapa JF inakushinda sasa challenge gani unakabiliana nazo, ooh wait, or is that top secret too ?

Mimi naona wewe na Shyrose hamchekani, wote mnataka kuingia katika siasa lakini mikiki yake hamuiwezi.
Si kila mtu anaweza kusema kwamba anaweza kukabili challenges..Ni wale wanaojiamini tu.

Nimekabiliana na challenges nyingi tu humu JF tena kubwa kuliko unavydhani it is beceuse you dont know me ndio maana wewe unaona kama hizi ni challenges.Hizi sio challenges Mkuu kifupi ni kwamba am not in a mudi ya kubishania issues ambazo hazijengi.kwenye ile post yako kule juu ulifika mbali mpaka kunitukana kisa tu eti unataka kunifahamu.Sina sababu ya kushawishi watu humu kwamba nitaweza kukbaliana na challenges bungeni humu JF.Ninawashawishi wapiga kura kule jimboni hata kama wengine wako humu.
Kusema huo ni mtazamo wako kunaweza kuwa ni muhimu au sio muhimu ila sikutaka kwenda into details,changua mwenyewe.Kuweza au kutoweza kuwakilisha watu hakupimwi na michango ya humu JF.

Kiranga jitahidi kuwa mwelewa basi,sio kila unachokitaka lazima kiwe,niliamua kutotoa sababu basi heshimu hilo.Ur name suggest who ur..Una Kiranga sana...Heshimu mawazo ya wenzako Mkuu..
 
Your name suggest who you are, you are overly sensitive, perhaps there is something you are sensitive about that we should know ?

This is not about what you know, it is what you can prove you know.

This is not about what you can do, it is about what you prove you can do.

This is not about what happenned, it is about what you can prove happenned.

These are the basics for any job interview, court case, or election.

Sasa wewe mwenzetu hata jina hutaki kututajia, unawezaje ku prove chochote kile ?

Hata ukijua yote, ukiwa umefanya yote, na una track record nzuri ajabu, kama huwezi kuprove hivyo na ku communicate hivyo you are as good as yule ambaye hajui chochote na hajafanya chochote.

Na wewe kwa sababu hutaki hata kujitaja jina you are just a joker as far as I am concerned, muhuni mmoja ambaye anataka kuchezea watu akili tu, hana campaign wala nini.

Kwanza mtu mwenye campaign anapata wapi muda wa kukaa JF kama hivi wakati hata haitumii kwa kampeni yake kihivyo ?
 
Huo ni mtazamo wako.Kwangu mimi itabaki vile vile kwamba i wanted to comment seriously lakini kwasababu fulani fulani nikaona nisicomment,kama wewe unaona hivyo ni comment basi ni wewe to me sio.Huwa naweza kukabiliana na challenges mbalimbali lakini sio hizi za kulazimishana...Kama wewe unaona siziwezi its ok,mimi mwenyewe najitambua.Ubarikiwe sana...

Ww mchukia waislamu una maadili gani ya dini? sasa unaanza kulia kwa kufinywa na Kiranga tu vipi ukikutana na mashine za fisadis huku kwenye kampeni si utaachia nnya we!
 
Your name suggest who you are, you are overly sensitive, perhaps there is something you are sensitive about that we should know ?

This is not about what you know, it is what you can prove you know.

This is not about what you can do, it is about what you prove you can do.

This is not about what happenned, it is about what you can prove happenned.

These are the basics for any job interview, court case, or election.

Sasa wewe mwenzetu hata jina hutaki kututajia, unawezaje ku prove chochote kile ?

Hata ukijua yote, ukiwa umefanya yote, na una track record nzuri ajabu, kama huwezi kuprove hivyo na ku communicate hivyo you are as good as yule ambaye hajui chochote na hajafanya chochote.

Na wewe kwa sababu hutaki hata kujitaja jina you are just a joker as far as I am concerned, muhuni mmoja ambaye anataka kuchezea watu akili tu, hana campaign wala nini.

Kwanza mtu mwenye campaign anapata wapi muda wa kukaa JF kama hivi wakati hata haitumii kwa kampeni yake kihivyo ?
Kiranga

Tatizo lako hujui kujenga hoja, arguments zako zote huwa za kubishana kwa shari siyo za kujenga, inakuwaje wewe kila unayekutana naye you end up kubishana na mwisho kutukanana hujiulizi kwa nini. Nashangaa kwanini GS bado anaendelea kubishana na mtu kama wewe atuachie sisi tubishane na juha mkubwa kwanza huna adabu kabisa.
 
Ww mchukia waislamu una maadili gani ya dini? sasa unaanza kulia kwa kufinywa na Kiranga tu vipi ukikutana na mashine za fisadis huku kwenye kampeni si utaachia nnya we![/QUOTE]

Hey.Mimi nachukia Waislamu,come one huu uzushi umetoka wapi tena?sina tatizo na dini yeyote ile.Sijawahi kuwachukia Waislamu tangu nimezaliwa.Ndugu zangu kibao ni Waisalam,Rafiki zangu wakaribu, karibu wote ni Waislamu,dereva wangu ni Muislamu,leo hii niwachukie Waislamu kwanini hasa?mimi sio mdini bwana wala sijawahi kuwa na wala sitarajii...

Hapo kwenye bold utajibu mwenyewe,huwa sjibu hoja za jabu kama hizi..Stay cool and be blessed in the name of Allah..
 
Howdy Gender Sensitive, nimepata ujumbe ako. Pole sana....

Ni bora usingekuja kututangazia humu. Lakini una haki ya kufanya unavyopenda na unavyoona ni sawa. Most importantly, it is your constituency that comes first and not some goons on the internet.
 
Kiranga

Tatizo lako hujui kujenga hoja, arguments zako zote huwa za kubishana kwa shari siyo za kujenga, inakuwaje wewe kila unayekutana naye you end up kubishana na mwisho kutukanana hujiulizi kwa nini. Nashangaa kwanini GS bado anaendelea kubishana na mtu kama wewe atuachie sisi tubishane na juha mkubwa kwanza huna adabu kabisa.

Asante kwa kunisaidia Mkuu.Nakabaliana na wewe kwamba jamaa anapenda kulazimisha kila mtu akubaliane na mawazo yake kitu ambacho hakiwezekani..Yaani jamaa anafika hatua hadi anatukana hivi hivi halafu yeye ndio anajona ndio bingwa wa kuface challenges ila wenzake hatuwezi...Nakuachia uendelee naye mie simuwezi..Siwezi kubishania ujinga..
 
Kiranga

Tatizo lako hujui kujenga hoja, arguments zako zote huwa za kubishana kwa shari siyo za kujenga, inakuwaje wewe kila unayekutana naye you end up kubishana na mwisho kutukanana hujiulizi kwa nini. Nashangaa kwanini GS bado anaendelea kubishana na mtu kama wewe atuachie sisi tubishane na juha mkubwa kwanza huna adabu kabisa.

Mtu asiyejua kujenga hoja kupangua hoja zake rahisi sana.

Sasa mbona mbunge wenu mtarajiwa anataka kulia? Inamaana anashindwa kupangua hata hoja za mtu asiyejua kupanga hoja.

Even more reason to be wary of her. Hakuna public office inayotafutwa kwa usiri, ukileta usiri utatutia mashaka na nia na uwezo wako.
 
hivi gender sensitive ni mwanamke au mwanamme?

Huyu mtu mpaka leo hajulikani, siku zote.Mara anakwambia si mwanamke, mara si mwanamme.

Yaani si kwamba hataki kutuambia jina lake na jimbo, hataki hata kutuambia jinsia yake.

Mtu mwenye usiri kama huu ataweza public service kweli?
 
kumuuliza yeye mwanamke au mwanaume wewe unachotaka nini ndoa? huna hoja, haya mimi mwanamme ni PM nikuelekeze nilipo.
 
Kiranga

Tatizo lako hujui ... kubishana na mtu kama wewe atuachie sisi tubishane na juha mkubwa kwanza huna adabu kabisa....

....unachotaka nini ndoa? huna hoja, haya mimi mwanamme ni PM nikuelekeze nilipo.
Kiranga anagombea jimbo gani?
 
Mtu asiyejua kujenga hoja kupangua hoja zake rahisi sana.

Sasa mbona mbunge wenu mtarajiwa anataka kulia? Inamaana anashindwa kupangua hata hoja za mtu asiyejua kupanga hoja.

Even more reason to be wary of her. Hakuna public office inayotafutwa kwa usiri, ukileta usiri utatutia mashaka na nia na uwezo wako.
unajifanya much know sana kila jukwaa upo kila thread upo na kuingilia mijadala ya watu kujifanya mjuvi unajua kila field wakati hatuoni kitu chochote zaidi ya pumba na matusi, jirekebishe.
 
Back
Top Bottom