Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Huo ni mtazamo wako.Kwangu mimi itabaki vile vile kwamba i wanted to comment seriously lakini kwasababu fulani fulani nikaona nisicomment,kama wewe unaona hivyo ni comment basi ni wewe to me sio.Huwa naweza kukabiliana na challenges mbalimbali lakini sio hizi za kulazimishana...Kama wewe unaona siziwezi its ok,mimi mwenyewe najitambua.Ubarikiwe sana...
Tatizo sio wewe mwenyewe kujitambua kwamba unaweza challenge, kila mtu anaweza kusema hivyo. Tatizo unaweza kutushawishi sisi vipi kwamba unaweza ku deal na challenges za real life bungeni na jimboni wakati challenges za JF tu zinakushinda kuzi address?
Mtazamo wangu ni muhimu, huwezi kusema "huo ni mtazamo wako" kama vile si muhimu, wewe kama ni kiongozi wa watu unatakiwa kujali mitazamo ya watu.Ukianza kwa kusema "huo ni mtazamo wako" unanipa mashaka kama utaweza kwenda bungeni kuwakilisha mitazamo ya wananchi. Kama mtazamo wangu ni potofu una haki ya kuukosoa na kuniambia kwa nini ni potofu, lakini ukisema "huo ni mtazamo wako" unanipa picha kwamba wewe hutaki dialogue na watu, na mtu akikupinga tu unasema "huo ni mtazamo wako" case closed. Utaweza kuwakilisha watu ?
Haya unasema ulitaka ku comment seriously, lakini kwa sababu fulani fulani hukuweza, basi tuambie hata hizo sababu tukuelewe, ndugu yetu anataka ku comment lakini kwa sababu hii na ile hawezi. Wewe ku comment hutaki, kutoa jina hutaki, kutoa jimbo hutaki, halafu hata sababu ya usiri hutupi.
Ndiyo maana tunapata mashaka, kuna kitu unaficha? Au hujiamini tu? Sasa kwa nini ulikuja kutuambia kwamba unagombea ubunge? Au ulitaka celebrity tu bila kuifanyia kazi inayotakika ?
Challenge ndogo tu ya kujibiana toe to teo hapa JF inakushinda sasa challenge gani unakabiliana nazo, ooh wait, or is that top secret too ?
Mimi naona wewe na Shyrose hamchekani, wote mnataka kuingia katika siasa lakini mikiki yake hamuiwezi.