Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Nzega ndani ndani hiyo!😁😁😁 hicho kijiji kipo Korea au Tanzania hii

Mkuu ni umeacha hela kizembe, mimi ilishawahi kunikuta na nilifanikiwa kwanza document zinazotakiwa siyo passport tu kama una kitambulisho cha mpigakura na nida utapata hela yako muhimu taharifa za kitambulisho ziendane na taarifa zilizopo 1xbet, namba ya simu siyo lazima iwe na majina sawa yaliyopo 1xbet, kama unahitaji maelezo zaidi uliza mkuu hawa watu nina uzoefu sana nao.Mimi stori yangu ipo hivi nilicheza 1xBet na kwa bahati nikapata ushindi wa kama TSh milioni 3.8. Nikaamua kufanya withdrawal, lakini baada ya ku-request hela nikakutana na security verification.
Wakanitaka ni-verify kwa passport pamoja na namba ya simu iliyokuwa kwenye account.
Tatizo ni kwamba hii namba niliitumia wakati nafanya account, lakini SIM yenyewe niliinunua kwa mtu. Siwezi ku verify identity wanatishia ku block tena wanasema namba ina account 2
Haya makampuni ya kijinga sana yakiona umeyakula
Mcheki hanscana dm pale Instagram atakuraidia hili.
Alishawahi sema kwamba anawasaidia wengi kwenye issues kama hizi
Mkuu waone bodi ya michezo ya kubahatisha wakusaidie kuclaim fedha zako. Akishindwa, waburute mahakamani hao wapuuzi.Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7.
Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo ilithibitishwa na mfumo, ambapo nilipatiwa betslip pamoja na ujumbe wa mkataba. Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo, jambo ambalo ninaamini ni kinyume na General Terms and Conditions zao wenyewe pamoja na Sheria ya Michezo ya Kubahatisha.
Tarehe 6/11/2024, niliandika barua kwa Gaming Board kuhusu suala hilo, na tarehe 15/11/2024 nilipokea majibu. Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi. Baadaye, tulipangiwa kikao kingine tarehe 17/1/2025, ambapo bado sikuwa nimepata malipo. Kampuni ilidai kuwa kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, lakini kampuni ilikataa na kusema ilikuwa tayari kunilipa Shilingi milioni 3. Nilikataa kwa sababu sikuona haki kupokea milioni 3 wakati madai yangu kutokana na beti hiyo ni milioni 27.7.
Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano. Tarehe 18/2/2025, Gaming Board ilinijulisha kuwa imeshindwa kufikia mwafaka kati yangu na kampuni. Niliamua kwenda mahakamani, lakini shauri langu halikuweza kuendelea baada ya Pigabet kuwasilisha pingamizi kwamba Gaming Board haikuwa imetoa uamuzi kuhusu suala hilo, hivyo ikahoji kwa nini nimeenda mahakamani. Mahakama ilikubaliana kwamba Gaming Board ilipaswa kutoa uamuzi rasmi, na si kufanya usuluhishi pekee.
Tarehe 13/5/2026, nilirudi Gaming Board kuomba kuongezewa muda kisheria na kusikilizwa upya. Niliwasilisha barua ya kuomba kusikilizwa upya, ombi ambalo lilikubaliwa, na baadaye niliitwa tena kwenye vikao viwili. Hata hivyo, mpaka sasa Gaming Board bado haijatoa uamuzi wa maandishi. Ninaendelea kuambiwa nisubiri bila kupewa muda maalum wa lini uamuzi utatoka.
Suala hili limeanzia mwaka 2024 hadi sasa mwaka 2026, lakini bado sijalipwa fedha zangu. Wakati huo huo, kampuni ya Pigabet inasisitiza kunipa Shilingi milioni 3 pekee, jambo ambalo silikubali kwa kuwa madai yangu ni Shilingi milioni 27.7. Pia, ninapowasiliana na kampuni hiyo kuhusu suala langu, nimekuwa nikijibiwa kwa lugha ambayo si nzuri.
Naomba mnisaidie kupaza sauti yangu ili mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuishinikiza kampuni ya Pigabet pamoja na Gaming Board kuchukua hatua na kutoa uamuzi wa haki. Nimejaribu kulifuatilia suala hili kwa muda mrefu bila mafanikio, na nina hofu kwamba likiachwa kimya kimya sitaweza kupata haki yangu.
Una uhakika atashinda?Hapo inabidi atafutwe wakili mwenye akili timamu, Watalipa tu au wakimbie ofisi.
Una uhakika atashinda?
Nilisha withdrawMkuu ni umeacha hela kizembe, mimi ilishawahi kunikuta na nilifanikiwa kwanza document zinazotakiwa siyo passport tu kama una kitambulisho cha mpigakura na nida utapata hela yako muhimu taharifa za kitambulisho ziendane na taarifa zilizopo 1xbet, namba ya simu siyo lazima iwe na majina sawa yaliyopo 1xbet, kama unahitaji maelezo zaidi uliza mkuu hawa watu nina uzoefu sana nao.
Hakuna makampuni yan rules ngumu kama kampuni la 1xbet la kirus na makampuni yaliyo copy hilo kampuni mfano paripesa yale yana masharti kibao sana.Kumbuka account Nina zaidi ya mwaka nachezea
Pole sana mkuu. Tafuta wakili anayejitambua akusaidie kupata chekeli zako. Makampuni mengine ni matutusa sana.Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7.