DOKEZO Nimeshinda Sh 27M kwenye kubet, Kampuni inataka kunipa Sh 3M, Gaming Board hainisaidii

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mwenzako anajadili kwa mantiki wewe unajadili kihisia. Ungekuwa unasoma terms and conditions za hayo makampuni ya kubeti usingeuliza haya maswali.

Siku nyingine bashiri fixed match, shinda alafu kosa hela uende mahakamani uone kama utapewa.
Huwezi tumia mihemko kisha umzidi anayetumia logic, common sense na maarifa.
Watu wanadhani biashara ya betting watu wanakurupuka. Ukizembea utafunga kampuni siku hiyo hiyo. Kuna ligi ambazo wahuni wananunua mechi utakuta ni ligi ndogo ndogo ,, kwenye mfumo kuna indicator wataziona kama ni fixed game na hizo game hata ushinde bilion huwezi kulipwa. Na wangekuwa wanalipa kusingekuwa na kampuni za betting . Kwa kawaida ukishinda mkeka kwenye kampuni za betting huwa wanafurahi kwasababu ni sehemu ya promotion na wanajua kabisa hiyo pesa utairudisha kwahiyo hakuna haja ya kutumia nguvu kukunyima ushindi . Huyo jamaa anoneshw huo mkeka kana usipokuta ni ligi za huko taiwan au huko itali sirie D jamaa wanalalamika kwamba nawatetea ila mimi najadili kuwa experience hakuna kampuni ya betting ya mabilion ya pesa itakayokubali kuchafuka kisa kushidwa kulipa milion 27 hilo halipo wakati mchins mmoja anayefanya analysis kwa mwezi mshahara milion 12🤣 halafu washindwe kulipa 27M ukishinda na usipolipwa ukienda gambling board na wakashindwa wanaweza kufutiwa leseni sasa jiulize kampuni ina miliki Las vegas casino , the gland casino na palm beach kasino na wanadhamni timu ligi kuu washindwe kulipa 27M ? Anyway aende mahakamani tutajua ukweli lakini Tanzania hii haina mtu aliyewahi kushinda kihalali kwenye kampuni iliyosajiliwa na asilipwe.
 
Naongelea kampuni za betting mkuu sio Kampuni za upatu
Suala ni kutapeliwa, wanaotapeli sio kampuni ni binadamu, wawakilishi wa hizo kampuni. Mtu anapolalamika kuwa katapeliwa anapaswa kusikilizwa na kuaminiwa mpaka pale atakapoonekana yeye ndo tapeli. Inabidi iwe hivi kwa sababu ya historia ya matukio ya kutapeliana ambayo yakishika kasi mitandaoni yanafanyiwa kazi kwa uwazi.
 
Hata kama sijui kubeti na sijui terms and condition the fact kwamba tayari kampuni ilikuwa tayari kutoa fedha kidogo na si yote tayari suala la uhalali wa betting si hoja, hoja ni kiasi. Utapeli haufai usitee, unless useme kuna sehemu mleta mada ni muongo kwa kusema ukweli unaoufahamu wewe.
Unaweza beti fixed odds. Ukafidiwa hela ya take it or leave it pale utakapolalamika kunyima ushindi. Ni hela ambayo unapewa kufungwa mdomo na msizungushane, endapo hutaki nenda mahakamani msomeane vifungu na ushindwe.

Ambacho hujui makampuni hayataki usumbufu. Mfano unaweza kuilalamikia Vodacom kwenye jambo fulani ambalo linaichafua na kwa sababu wabongo wengi ni vilaza hawana logic na wanachukia matajiri wakihisi wao ndio wamewafanya wawe maskini, basi wana-side na mnyonge. Sasa Voda inaweza piga hesabu ya gharama za mwanasheria, usumbufu na bad publicity ikauita ikupe labda 5M muachane. Hiyo haimaanishi ukikataa kupokea hela utawashinda ukienda mahakamani. Wala haimaanishi wamekosea ndio maana wametaka kukulipa.

Fixed game ndio zinakuwaje hizo mkuu?
Ni match za kupanga matokeo mfano Simba inacheza na timu ambayo tiyari imeishashuka daraja hata ingefunga. Na bado Simba inataka pointi 3 ili iikimbize Yanga kileleni, na wakubwa wa timu inayoshuka daraja wanajua hawana future nzuri. Kwahiyo wanapanga na Simba ili wafungwe mfano 4-1. Sasa odds za matokeo exact ya 4-1 unazijua zinakuwa nyingi kuanzia 5 au 6 uko.

Au kwenye kesi hiyo, Yanga wanaitafuta timu inayoshuka daraja wanaiambia kaza muifunge Simba au mpate sare, tutawapa 40M. Wanakaza vibaya mno.

Kwahiyo kampuni za kubeti zinasoma trend zinashangaa mbona kuna watu kama 50 ndani ya lisaa wameweka beti ya Simba 4 - Timu XXX 1 full time. Hapo wanafungia mechi au wanafungia option au wanaweka limit ya stake.

Alternatively, kampuni mojawapo ya kubeti inapiga hesabu total stake ya watu wote waliopata hizo fununu ni ngapi labda total ni zaidi ya 300M kwenye ile fixed, inamtafuta refa na kiongozi wa timu ile dakika za mwisho kabisa kabisa inawapa pesa na kuwapangia matokeo labda Simba wakaze ifunge 3 ile timu nyingine isifunge goli kabisa (sababu haina uwezo wa draw au kuifunga Simba). Striker wa timu XXX akionyesha dalili za kushambulia sana anatolewa anaingia boya boya.

Mara nyingi wanaambiwa kipa, refa, manager wa timu. Wachezaji wengine nao wanaweza kuwa walisanuka wakaweka 4-1 ila dakika za mwisho kabisa deal limesukwa hawajui. Kwa kawaida huwa hawashiki simu dakika kadhaa kabla ya mechi.
 
Fixed matches si jambo la kikanuni na kisheria na adhabu zipo?

Sasa kama nimebet nikashinda kwenye fixed match anayesema hii ilikuwa ni fixed match ni nani? Kama ni mamlaka inayoaminika kikanuni na kisheria kwanini kampuni itake kunilipa ili nisiichafue kwenye jambo ambalo lipo kisheria na limethibitishwa na mamlaka inayoaminiwa?
 
Nenda mahakamani mkuu. Mambo yasiwe mengi.
 
Unaweza beti fixed odds. Ukafidiwa hela ya take it or leave it pale utakapolalamika kunyima ushindi. Ni hela ambayo unapewa kufungwa mdomo na msizungushane, endapo hutaki nenda mahakamani msomeane vifungu na ushindwe.

Ambacho hujui makampuni hayataki usumbufu. Mfano unaweza kuilalamikia Vodacom kwenye jambo fulani ambalo linaichafua na kwa sababu wabongo wengi ni vilaza hawana logic na wanachukia matajiri wakihisi wao ndio wamewafanya wawe maskini, basi wana-side na mnyonge. Sasa Voda inaweza piga hesabu ya gharama za mwanasheria, usumbufu na bad publicity ikauita ikupe labda 5M muachane. Hiyo haimaanishi ukikataa kupokea hela utawashinda ukienda mahakamani. Wala haimaanishi wamekosea ndio maana wametaka kukulipa.

Ni match za kupanga matokeo mfano Simba inacheza na timu ambayo tiyari imeishashuka daraja hata ingefunga. Na bado Simba inataka pointi 3 ili iikimbize Yanga kileleni, na wakubwa wa timu inayoshuka daraja wanajua hawana future nzuri. Kwahiyo wanapanga na Simba ili wafungwe mfano 4-1. Sasa odds za matokeo exact ya 4-1 unazijua zinakuwa nyingi kuanzia 5 au 6 uko.

Au kwenye kesi hiyo, Yanga wanaitafuta timu inayoshuka daraja wanaiambia kaza muifunge Simba au mpate sare, tutawapa 40M. Wanakaza vibaya mno.

Kwahiyo kampuni za kubeti zinasoma trend zinashangaa mbona kuna watu kama 50 ndani ya lisaa wameweka beti ya Simba 4 - Timu XXX 1 full time. Hapo wanafungia mechi au wanafungia option au wanaweka limit ya stake.

Alternatively, kampuni mojawapo ya kubeti inapiga hesabu total stake ya watu wote waliopata hizo fununu ni ngapi labda total ni zaidi ya 300M kwenye ile fixed, inamtafuta refa na kiongozi wa timu ile dakika za mwisho kabisa kabisa inawapa pesa na kuwapangia matokeo labda Simba wakaze ifunge 3 ile timu nyingine isifunge goli kabisa (sababu haina uwezo wa draw au kuifunga Simba). Striker wa timu XXX akionyesha dalili za kushambulia sana anatolewa anaingia boya boya.

Mara nyingi wanaambiwa kipa, refa, manager wa timu. Wachezaji wengine nao wanaweza kuwa walisanuka wakaweka 4-1 ila dakika za mwisho kabisa deal limesukwa hawajui. Kwa kawaida huwa hawashiki simu dakika kadhaa kabla ya mechi.
Nimekuelewa, lakini fixed match si mpaka idhibitishwe na mamlaka inayosimamia soka ya nchi husika, mfano hapa ligi ya bongo mpaka TFF au caf, wadhibitishe kuwa mechi fulani imepangwa, au hayo makampuni ya kubeti yanadhibitisha yenyewe?
 
Kwa hali hii hizi kampuni zinaibia sana watu wa pembezoni mwa miji.

Afisa ubahatishaji aliyeko Namasakata huko ataziweza hizo hekaheka za kwenda Gaming board?

Mtu akidhulumiwa 200K na yupo Chaminhwa au Chanemba huko asafiri kwenda Dar au GB wana ofisi mikoa yote?
 
Wanazo system zao za ku detect ,, lakini kama kutakuwa na mzozo huwa uchunguzi unaweza kuendelea lakini mara nyingi system hazidanganyi. Maana huwa zinaondolewa kwenye kampuni zote na kunakuwa na tabia ambazo sio za kawaida kwenye stake ya hizo michezo. Kwamfano mechi ambayo haijulikani halafu imebetiwa na mamilion ya watu dunian kwa stake kubwa za haraka haraka na kupanda na kushuka kwa odds kusiko kwa kawaida ni miongoni mwa indicator
 
Kwa hali hii hizi kampuni zinaibia sana watu wa pembezoni mwa miji.

Afisa ubahatishaji aliyeko Namasakata huko ataziweza hizo hekaheka za kwenda Gaming board?

Mtu akidhulumiwa 200K na yupo Chaminhwa au Chanemba huko asafiri kwenda Dar au GB wana ofisi mikoa yote?
Kama utashinda laki mbili na hamsini kihalali halafu usilipwe ni hasara kwa kampuni. Hiyo laki mbili na hamsini wakikulipa kuna uwezekano ukawaingizia milion 20 katika maisha yako ya kubetia kwenye hiyo kampuni. Ndio maana kampuni huwa zinanunua wateja mpaka kwa dollar 500$ au kukupa hata bonasi ya milion 1 ,, biashara ya betting mafanikio ya kwanza ni uaminifu na kulipa watu kwa wakati ndio maana unaona sio rahisi kampuni ya betting kukutapeli hata kama haijasajiliwa Tanzania. Kwanini wakunyang'anye pesa kwa nguvu wakati wewe mwenyewe unaweza kuwapa kiulaini ,, yani wakatalie laki mbili wakati unaweza kuja kuwapa milion 5?
 
Back
Top Bottom