Kwanini watuambie riba ya mkopo ni 18% wasiseme ni 82% au 84 %?? Wakati ndio uhalisia?Kwa haraka haraka itakuwa 18% kwa mwaka na si 18% kwa muda wote
wa mkopo.
Hapo wakaipeleka miaka 6 na wakapunguza kidogo ili usione unalipa mkopo kwa riba ya 100%.
Yani kihasara hasara wapunguze milioni3 nzima?Kwa haraka haraka itakuwa 18% kwa mwaka na si 18% kwa muda wote
wa mkopo.
Hapo wakaipeleka miaka 6 na wakapunguza kidogo ili usione unalipa mkopo kwa riba ya 100%.
Wanakera kweli hawa ni NMB hawapendi kuweka ukwelihadharani RiBA yao ni kubwa mnoNimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%....
Acha kabisa.Kwa nn watuambie riba ya mkopo ni 18% wasiseme ni 82% au 84 %?? Wakati ndio uhalisia?
Hawana tofauti na wezi au matapeli..ukiona riba 18% unaandaa mipango yako ukijua unapata hela kwa riba nafuu ukifika kule unapewa marejesho ya tofauti kabisa. Hata kwenye seminar zao hawaweki wazi formula zao ili wateja wazijueAcha kabisa.
Wana katabia fulani hivi riba ni 2.8% p.m....
... halafu msimamizi mkuu wa mabenki yaani BoT yupo tu! Mtunga sera wa sekta ya fedha yaani wizara ya fedha yeye yupo tu anakimbizana na makusanyo kupitia mwanae TRA!Wana aina flani ya uyapeli ndo maana hawaweki wazi mahesabu yao
Amu on the beatKwa haraka haraka itakuwa 18% kwa mwaka na si 18% kwa muda wote
wa mkopo.
Hapo wakaipeleka miaka 6 na wakapunguza kidogo ili usione unalipa mkopo kwa riba ya 100%.
Good businessAcha kabisa.
Wana katabia fulani hivi riba ni 2.8% p.m.
Saaa hapo p.m ndo kwenye mtego.
Wanamaanisha riba ni 2.8 per month.
Kama miaka 2 ni 2.8%*24 ambayo ni 67%.
benki zote za bongo ni hivyo hivyo,mkuu lipa deni la watuWanakera kweli hawa ni NMB hawapendi kuweka ukwelihadharani RiBA yao ni kubwa mno
Kwahiyo nikija kopa nitegemee hivyo auTajiri nakuona.
Die hard fan.
Unafikiri wakikuambia hivyo utakubali?Kwa nn watuambie riba ya mkopo ni 18% wasiseme ni 82% au 84 %?? Wakati ndio uhalisia?