Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Million 9 ndo inazalishwa....kwahyo u aruidisha milion 17Million 8kwa miaka 6 izalishe laki6 tu?
Hauko serious mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Million 9 ndo inazalishwa....kwahyo u aruidisha milion 17Million 8kwa miaka 6 izalishe laki6 tu?
Hauko serious mkuu!
Mkuu, kwenye calculation za mkopo kuna formula kuu mbili:Nimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%....
KudadadekiNimefoward
Kuna mzee mmoja kakopa crdb 30m kwa mshahara wake. Amekatwa kwenye mshahara wake weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka kufika mwisho kajikuta amelipa 68m
Mkuu kuna watu hawajui.Hayo marejesho mbona hamna wizi hapo!?
Ujue hiyo million 8 kwenye biashara inaweza ikazalisha faida ya hadi 6M au hata zaidi ndani ya mwaka mmoja!
Tatizo ni kwamba watu wanakopa wanaenda kufanya harusi na kula bata au kutatua matatizo ya kifamiliaa, hapo ni lazima uone bank ni wezi tu!
Lakini unyonyaji unaofanywa na benki za kiislam ni mkubwa zaidi ya huuWaislam haturuhusiwi kula riba wala kuliwa riba ...ndio maana dini imekataza kutona na unyonyaji uliopo
Hiyo itakuwa ni compound interest sio simple interest.
Kama humwambii mteja ukweli juu ya biaashara yako ni sawa na wizi tuuMkuu, kwenye calculation za mkopo kuna formula kuu mbili:
1. Straight method
2. Reducing method
Watu wa bank kuna mambo huwa hawayaweki wazi. Ili la mikopo likiwa ni moja wapo.
Lingine ni suala la fixed deposit. Always maelezo wanayotoa kwa wateja ni tofauti ni kile ambacho utapata siku ya mwisho. Mfano:
1. Suala la kodi-hili huwa hawalisemi kabisaa yaani.
Yapo mengi sana!
Sasa mkulima kwa Tzn huna haki na unaonekana ni mtu wa chiniMimi Ni mkulima...
Hiyo riba ni kwa kila mwaka.Mikopo ya muda mrefu iko hivyo ni karibia unalipa mara mbiliNimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%.
Baada ya kupewa makato yakawa 195,820 kwa mwezi kwa miaka 6. Sasa nawauliza mbona kiuhalisia sio 18% kama wanavyotuambia kwenye matangazo yao? Wanajibu kwa mujibu wa calculator yao ipo sahihi, hapa ina maana mpaka marejesho itakua ni 14,099,040 ndani ya miaka 6.
Hawa jamaa wanatumia formula gani kufanya calculations zao, kuna dalili ya wengi kupigwa maana kuna usiri mwingi sana. Ni vizuri ikawekwa wazi ili kabla hujaenda kuchukua mkopo ujue na marejesho yake yatakuwa vipi.