Nimeshindwa kuelewa formula ya mahesabu ya mikopo ya benki hii

Nimeshindwa kuelewa formula ya mahesabu ya mikopo ya benki hii

Tumia Excel kufanya mahesabu ya mkopo wako, kwa kutumia loan amortization schedule , Kama ni ngumu unaweza unaweza Google formula ya mkopo . Nimeangalia hiyo iko sawa tu , riba ni 18% kwa mwaka, hakuna wizi hapo
inakja ngap? inakuja mil17 sio mill14 ukipiga 18 kwa mwaka
 
Kwa kifupi mikopo ya kukatwa kwenye mshahara si mizuri kama hauna ulazima au hufanyii biashara , bora ujichange cash to cash ,riba inakuja zaidi ya asilimia 60 hadi asilimia 100
 
Nimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%...
18% ni kwa mwaka.

Ukikopa miaka 6 inakuwa 18%x6.

Binafsi sielewi inakuwaje mtu unakopa mkopo kwa muda mrefu hivyo ?

Key Points.

1. Kadri unavyokaa na pesa ya mkopo muda mrefu ndivyo Riba na pesa ya jumla ya marejesho itajavyokuwa kubwa.
( Ukirudisha pesa yao mapema maana yake atakopeshwa mtu mwingine ).

2. Watu wengi wanapenda mikopo ya muda mrefu kwa kufurahia tu kiasi cha pesa watakachobaki nacho kwenye mshahara baada ya makato, bila kuangalia Total amount na muda wa malipo ).

Note: Kopa mkopo, lipa kwa maumivu ndani ya muda mfupi kadri uwezavyo, utalipa pesa kidogo.
 
Hawana tofauti na wezi au matapeli..ukiona riba 18% unaandaa mipango yako ukijua unapata hela kwa riba nafuu ukifika kule unapewa marejesho ya tofauti kabisa. Hata kwenye seminar zao hawaweki wazi formula zao ili wateja wazijue
Bank siyo wezi.

Issue ni kwamba Wabongo wengi HESABU ni SIFURI.
 
Nimefoward


Kuna mzee mmoja kakopa crdb 30m kwa mshahara wake. Amekatwa kwenye mshahara wake weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka kufika mwisho kajikuta amelipa 68m
Huu ni wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bank siyo wezi.

Issue ni kwamba Wabongo wengi HESABU ni SIFURI.
Mbona hawaweki formula wazi?? Kwa nn hawasemi mkopo wa miaka 2 riba% kadhaa miaka 4 riba ni % kadhaa ?? Wao wanasema mkopo wetu riba ni 18%?
 
Jamani mbona BOT na wizara husika mpo kimya huku mabenki yakifanya utapeli huu. Kwa nini wasitoe angalau mchanganuo ambao unaeleweka kirahisi kwa wateja, mfano. ukikopa milioni 10 utakatwa kiasi gani kila mwezi kwa mwaka, miaka 2, mitatu nk. siyo kuficha ficha mtu anakuja kushangaa makato makubwa kwenye mapato yake ya mwezi kuliko alivyo tarajia.
Ukiwaambia ni wezi wanakuja juu sana na wanakua wakali kweli. Unasema riba kwenye bank yetu ni 18% ...wakija kukopa wanakuta ngoma inasoma 84%. Tatizo wanaficha mpaka ujaze form ndo utaona makato mpaka ushangae
 
Riba ni kwa mwaka. Wewe unataka kulipa kwa miaka 6 zidisha kwa 6 hiyo riba.
Au kama unaweza kulipa ndani mwaka,mmoja riba inakuwa 18% tu. Uamuzi ni wako.
 
Nimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%.

Baada ya kupewa makato yakawa 195,820 kwa mwezi kwa miaka 6. Sasa nawauliza mbona kiuhalisia sio 18% kama wanavyotuambia kwenye matangazo yao? Wanajibu kwa mujibu wa calculator yao ipo sahihi, hapa ina maana mpaka marejesho itakua ni 14,099,040 ndani ya miaka 6.

Hawa jamaa wanatumia formula gani kufanya calculations zao, kuna dalili ya wengi kupigwa maana kuna usiri mwingi sana. Ni vizuri ikawekwa wazi ili kabla hujaenda kuchukua mkopo ujue na marejesho yake yatakuwa vipi.
Angalia kikokotoo chini
ndani ya miaka 2 utalipa (plus riba)11,866,143
24 months.PNG
 
Labda tufanye kila mwaka ungekua unakopa unalipa mwaka mwingine unakopa unalipa, baada ya mika sita ungekua umelipa kiasi gani?

Kuficha formula ndipo utajiri wao ulipo.

"Siri ya Mafanikio Ni Siri"
 
Labda tufanye kila mwaka ungekua unakopa unalipa mwaka mwingine unakopa unalipa, baada ya mika sita ungekua umelipa kiasi gani?

Kuficha formula ndipo utajiri wao ulipo.

"Siri ya Mafanikio Ni Siri"
Wakiweka wazi wengi watakimbia na wangine hawatakopa kabisa
 
Kwa haraka haraka itakuwa 18% kwa mwaka na si 18% kwa muda wote
wa mkopo.

Hapo wakaipeleka miaka 6 na wakapunguza kidogo ili usione unalipa mkopo kwa riba ya 100%.
Muulize mtoa mada, kama calculator huwa inakosea.
 
Labda tufanye kila mwaka ungekua unakopa unalipa mwaka mwingine unakopa unalipa, baada ya mika sita ungekua umelipa kiasi gani?

Kuficha formula ndipo utajiri wao ulipo.

"Siri ya Mafanikio Ni Siri"
Siri ya utajiri ni siri
 
Back
Top Bottom