inakja ngap? inakuja mil17 sio mill14 ukipiga 18 kwa mwakaTumia Excel kufanya mahesabu ya mkopo wako, kwa kutumia loan amortization schedule , Kama ni ngumu unaweza unaweza Google formula ya mkopo . Nimeangalia hiyo iko sawa tu , riba ni 18% kwa mwaka, hakuna wizi hapo
Riba inakuwa 5.4M kwa miaka sitainakja ngap? inakuja mil17 sio mill14 ukipiga 18 kwa mwaka
18% ni kwa mwaka.Nimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%...
Bank siyo wezi.Hawana tofauti na wezi au matapeli..ukiona riba 18% unaandaa mipango yako ukijua unapata hela kwa riba nafuu ukifika kule unapewa marejesho ya tofauti kabisa. Hata kwenye seminar zao hawaweki wazi formula zao ili wateja wazijue
Huu ni wizi.Nimefoward
Kuna mzee mmoja kakopa crdb 30m kwa mshahara wake. Amekatwa kwenye mshahara wake weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpaka kufika mwisho kajikuta amelipa 68m
Wewe haujaelewa hata kinacholalamikiwa hapa...... Hebu soma tena halafu tafakari.Tumia Excel kufanya mahesabu ya mkopo wako, kwa kutumia loan amortization schedule , Kama ni ngumu unaweza unaweza Google formula ya mkopo . Nimeangalia hiyo iko sawa tu , riba ni 18% kwa mwaka, hakuna wizi hapo
Ukiwaambia ni wezi wanakuja juu sana na wanakua wakali kweli. Unasema riba kwenye bank yetu ni 18% ...wakija kukopa wanakuta ngoma inasoma 84%. Tatizo wanaficha mpaka ujaze form ndo utaona makato mpaka ushangaeJamani mbona BOT na wizara husika mpo kimya huku mabenki yakifanya utapeli huu. Kwa nini wasitoe angalau mchanganuo ambao unaeleweka kirahisi kwa wateja, mfano. ukikopa milioni 10 utakatwa kiasi gani kila mwezi kwa mwaka, miaka 2, mitatu nk. siyo kuficha ficha mtu anakuja kushangaa makato makubwa kwenye mapato yake ya mwezi kuliko alivyo tarajia.
Wao wanasema kwa mwaka. Mambo mengine ni wewe kuulizia, maana mambo ya mikopo ni makubaliano.Mbona hawaweki formula wazi?? Kwa nn hawasemi mkopo wa miaka 2 riba% kadhaa miaka 4 riba ni % kadhaa ?? Wao wanasema mkopo wetu riba ni 18%?
Wajanja wanaenda kwa Karamagi posta riba 12% kwa mwaka. Wabunge wengi wanakopa hukoNimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%...
SahihiRiba ni kwa mwaka. Wewe unataka kulipa kwa miaka 6 zidisha kwa 6 hiyo riba.
Au kama unaweza kulipa ndani mwaka,mmoja riba inakuwa 18% tu. Uamuzi ni wako.
Kopa kwa miaka michache ili riba iwe ndogohahahahaha nikikumbuka nilivokopa crdb 15M na kutakiwa kulipa 24M naishia tuu kucheka ihiiiìiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Angalia kikokotoo chiniNimeenda benki fulani kwa uhitaji wa mkopo wa 8.4m wakanimbia riba 18%.
Baada ya kupewa makato yakawa 195,820 kwa mwezi kwa miaka 6. Sasa nawauliza mbona kiuhalisia sio 18% kama wanavyotuambia kwenye matangazo yao? Wanajibu kwa mujibu wa calculator yao ipo sahihi, hapa ina maana mpaka marejesho itakua ni 14,099,040 ndani ya miaka 6.
Hawa jamaa wanatumia formula gani kufanya calculations zao, kuna dalili ya wengi kupigwa maana kuna usiri mwingi sana. Ni vizuri ikawekwa wazi ili kabla hujaenda kuchukua mkopo ujue na marejesho yake yatakuwa vipi.
Wakiweka wazi wengi watakimbia na wangine hawatakopa kabisaLabda tufanye kila mwaka ungekua unakopa unalipa mwaka mwingine unakopa unalipa, baada ya mika sita ungekua umelipa kiasi gani?
Kuficha formula ndipo utajiri wao ulipo.
"Siri ya Mafanikio Ni Siri"
Muulize mtoa mada, kama calculator huwa inakosea.Kwa haraka haraka itakuwa 18% kwa mwaka na si 18% kwa muda wote
wa mkopo.
Hapo wakaipeleka miaka 6 na wakapunguza kidogo ili usione unalipa mkopo kwa riba ya 100%.
Siri ya utajiri ni siriLabda tufanye kila mwaka ungekua unakopa unalipa mwaka mwingine unakopa unalipa, baada ya mika sita ungekua umelipa kiasi gani?
Kuficha formula ndipo utajiri wao ulipo.
"Siri ya Mafanikio Ni Siri"