Nimeshindwa kuelewa formula ya mahesabu ya mikopo ya benki hii

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
hakuna mtu mwenye mshahara mzuri anayekubali kurudisha mkopo muda mrefu kiasi hicho.

mtu keshakwambia anakopa 8mln,ni wazi mtu huyu kipato chake mshahara hakizidi laki 5.hapo akijichanganya kwenye makato anabaki na namba za viatu kwe ye salary sleep.
lakini pia ukumbuke kuna 1/3 ya mshahara hii ndio inabana hata wenye kutaka kurudisha pesa kwa kipindi kifupi.
 

Kabla ya watu kuchukua hii mikopo wanatakiwa kusoma na kuelewa mkataba wa mikopo
Kama riba ni 18% unatakiwa kujua kama hiyo calculation inakua flat au reducing.
Wateja wengi huwa hawasomi mikataba, wanakuaga desparate sababu ya uhitaji wanasign tuu zile form halafu pesa zikiisha ndio wanaanza kulia

Pia ukiona umeonewa au umeibiwa beba documents zako nenda BOT pale wa dawati la malalamiko ya wateja, utahudumiwa na kwa hiyo complain yako unaweza kuwa msaada kwa wengine
 
Unazungumza as if huo mkopo anachukua na kwenda kutupa jalalani.

Kimahesabu hiyo pesa anayokopa ndiyo inayopasawa kurudisha huo mkopo.

Kama anakopa, halafu pesa ya malipo anategemea strictly kutoka chanzo kingine binafsi namshauri asikope.
 
Unazingumza as if huo mkopo anaenda kutupa.

Kimahesabu hiyo pesa anayokopa ndiyo inayopasawa kurudisha huo mkopo.

Kama anakopa, halafu pesa ya malipo anategemea strictly kutoka chanzo kingine binafsi namshauri asikope.
unazungumzia wafanyabishara au wafanyakazi ndugu??


watu wanakopa wakajenge na kununua viwanja wewe unasema kitu tofauti kabisa.
 
Jinsi mkopo unapochukua muda mrefu kukaa nao, Riba yake nayo inakua iko juu kuliko mikopo ya kipindi kifupi mfano miezi 3/6/12
 
unazungumzia wafanyabishara au wafanyakazi ndugu??


watu wanakopa wakajenge na kununua viwanja wewe unasema kitu tofauti kabisa.
Kukopa kwenda kununua kiwanja au kujenga nyumba ya kuishi ni upumbavu.

Unless ulikuwa umepanga na pesa yako ya pango inatosha kuwa rejesho la mkopo kwa kila mwezi.
 
biashara sio kila mtu ana nafsi ya kuifanya.
Hata Ajira ni biashara.

Unauza MUDA WAKO na UJUZI.

Ndio maana wengine wanalipwa kwa saa, kwa mwezi au mwaka.

Na Mishahara inatofautiana.

e.g Senzo wa Simba kaajiriwa pia, ukimhitaji unapanda dau kama walivyofanya YANGA.

The same applies to the MEDIA PERSONALITIES kama kina Zembwela, Kitenge, Ambagile
 
Kwa muda gan mkuu
 
Japo kukopa Ni hiari lakini hivi viwango vya riba vinatakiwa kupunguzwa....
Viko hapo kwa sababu maalum,nyie ambao ni watumishi hamuwezi jua ,sababu kuu ni kwamba mazingira ya biashara ya tzn kufaulu ni madogo sana kwa hiyo risk factors ziko juu ndio maana wanaweka riba kubwa na dhamana ya kuzidi
 
Viko hapo kwa sababu maalum,nyie ambao ni watumishi hamuwezi jua ,sababu kuu ni kwamba mazingira ya biashara ya tzn kufaulu ni madogo sana kwa hiyo risk factors ziko juu ndio maana wanaweka riba kubwa na dhamana ya kuzidi

Mimi Ni mkulima...
 
Tumia Excel kufanya mahesabu ya mkopo wako, kwa kutumia loan amortization schedule , Kama ni ngumu unaweza unaweza Google formula ya mkopo . Nimeangalia hiyo iko sawa tu , riba ni 18% kwa mwaka, hakuna wizi hapo
Ningetegemea ungemsaidia hata kuweka screen shot ya hiyo Excell calculator but umeishia maneno matupu tuu, kiufupi hatuwezi kukuamini ukisemacho, tena yawezekana wewe ni mmoja wao huko bank.
 
Mbona hawaweki formula wazi?? Kwa nn hawasemi mkopo wa miaka 2 riba% kadhaa miaka 4 riba ni % kadhaa ?? Wao wanasema mkopo wetu riba ni 18%?
Ukienda bank wakisema riba ni asilimia 18 uje hiyo ni ya mwaka. Kwa kila mwaka utakao kaa na huo mkopo. Hiyo ni standard, kama ukienda kwa muuza chipsi ukisema zege inajulikana ni chipsi mayai. Swali la pili muulize hiyo riba inakuwa calculated kwenye original or reducing balance
 
Nakumbuka itakuwa kwenye reduced balance mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…