A
Anonymous
Guest
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026.
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya kuridhisha kuhusu sababu za kuchelewa huko wala muda halisi ambao pasipoti yangu itapatikana. Naomba mamlaka husika zilifuatilie suala hili ili huduma zitolewe kwa ufanisi na wananchi wasipate hasara kutokana na ucheleweshaji usio na maelezo ya kutosha.