Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo ni fake
Wengine mpaka wanashindwa kuingiza pesa ila kusema ukweli sijatokea kuzielewa Mimi timu zangu ni arsenal ndio napendezwa na soka lao ila hapa bongo Sina timu aisee yaani ligi naiona kama uchafu hivi sijui nyie wenzangu