Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
nigga kushabikia abroad means nothing. unajiona mzungu or with swagg nigga your crazy low 😂😂😂. smh your acting up.Tafuta hela
nationalism is the new pop. btw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nigga kushabikia abroad means nothing. unajiona mzungu or with swagg nigga your crazy low 😂😂😂. smh your acting up.Tafuta hela
Sawa.Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo ni fake
Wengine mpaka wanashindwa kuingiza pesa ila kusema ukweli sijatokea kuzielewa Mimi timu zangu ni mbili tu duniani Fc Barcelona na Liverpool ndio napendezwa na soka lao ila hapa bongo Sina timu aisee yaani ligi naiona kama uchafu hivi sijui nyie wenzangu
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahahaha.....Hamia burundi
Hivi unaakili kweli huoni kama Uzi unasema ni Mimi binafsi naona kama umedata hiviUmri wangu toka nizaliwe nipo kwenye 20's, nilianza kufatilia mpira miaka ya 2009 mwanzoni niliipenda timu ya Manchester United na Real Madrid, ni timu ambazo kwa ulaya nazishabikia hadi sasa.
Mpira wa Tanzania pia nilianza kufatilia miaka hiyo hiyo ya 2009 nilitokea kuipenda timu ya Yanga pia ni timu ninayoipenda hadi sasa.
Ile miaka ya 2009 hadi 2016 nilikuwa naangalia sana mpira wa Ulaya hasa Ligi ya England na Spain kila weekend lazima nitizame hadi mechi 3 au 4 kwa siku.
Tukirudi ligi ya nyumbani miaka ya 2010 hadi 2014 hapo mechi za ligi yetu kuoneshwa kwenye luninga ilikuwa changamoto nilikuwa nasikiliza sana redioni hasa Mwalimu Kashasha nilikuwa nampenda sana.
Baada ya mapinduzi makubwa ya ligi yetu kuanza kuonyeshwa Azam Tv kwa mechi nyingi nilijikuta naanza kupunguza kuangalia mechi za Ulaya na kujikuta naangalia sana ligi ya nyumbani pamoja Caf Champions League na Confederation.
Kadili siku zilivyokuwa zinakwenda nikajikuta League za Ulaya naangalia ila sio kwa kiwango kile kama mwanzoni nilivyokuwa nafuatilia, mapenzi yangu kwa ligi ya nyumbani yalizidi pamoja na Caf Champions League, nilijikuta navifuatilia sana vilabu vikubwa vya barani Afrika, hii ilipelekea hata Uefa nisiangalie sana mana mechi za Caf champions hasa hatua ya makundi kwenda mbele nilikuwa sikosi mechi.
Mantiki ya kuandika comment nikusema kwamba takataka ambayo wewe unaiona machoni mwako sisi wengine kwetu ni dhahabu, nafurahi sana kuona ligi yetu inavyokua, kwa sasa si ajabu kukuta watu wapo kibanda umiza wanaangalia mechi ya Namungo na Kagera Sugar.
Nihitimishe kwa kusema kupenda kwako Ligi za ulaya isiwe kigezo cha kubeza mashindano yetu ya ndani, nitaendelea kuangalia ligi za ulaya lakini soka la Afrika nitazidi kulifatilia na kulipenda.
Hivi unaakili kweli huoni kama Uzi unasema ni Mimi binafsi naona kama umedata hivi
Ndio ni takataka unasemajeNdio useme ligi yetu ni takataka?
Tukiachana na ubovu wa miundo mbinu suala ambalo kimsingi linaeleweka tu(timu nyingi ni maskini).Ligi imejaa mipasho zaidi kuliko mpira wenyewe uwanjani,
Mara sijui Manara,sijui Ali kamwe,mengi wanayo yaongea ni mipasho tu wala hayahusiani na mpira.
Ndio ni takataka unasemaje
Tukiachana na ubovu wa miundo mbinu suala ambalo kimsingi linaeleweka tu(timu nyingi ni maskini).
Jambo ambalo mimi binafsi linanikera sana kuhusu hili soka letu la bongo ni hili kutoa airtime kubwa kwa dramas za nje ya uwanja hasa zinazohusu hawa mapacha wa kariakoo.... imagine sasa hivi mzee Magoma anaongelewa kuliko hata tetesi za usajili?
Watu hatujui Tabora United wamemsajili nani, wamemuuza nani, hatujui Ken gold wamefanya usajili gani na maandalizi yao yakoje, hatujui Dodoma jiji wako wapi mechi ya kirafiki maandalizi wanacheza na nani, hatujui KMC wamemuuza nani, wamemsajili nani...... yaani wao kila pakukucha ni taarifa za mzee magoma, mzee magoma, mara sijui Ally Kamwe kachambana na nani huko Instagram, sijui Amed ally kakutana na nani.... yaani ni uswahili swahili tu na ujinga ndio umejaa kwenye soka letu. Kiukweli inaudhi.
Imagine leo hii eti hao akina Ally Kamwe na mwenzake Amed Ally ni maarufu kuliko hata baadhi ya wachezaji tena wa hivyo hivyo vilabu vya Yanga na Simba..? Umewahi kuona wapi hiyo tofauti na bongo yaani msemaji wa timu anakuwa maarufu kulko hata mchezaji??? Kweli hii ndio soka letu, kivyetu vyetu.
Tukiachana na hilo la kuendekeza mambo ya uswahili swahili pamoja na ile kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni mimi sina tatizo na soka letu la bongo na nnalipenda pia.
Ni vitukoo vya Hali ya juu usemaji wa timu ni ajira iliyobuniwa Ili watu wapige pesa ila hamna Cha maana wanachokifanya zaidi ya kupiga kelele ushabiki hauna tofauti na uchawa maana unasifia vitu ambavyo havipoTukiachana na ubovu wa miundo mbinu suala ambalo kimsingi linaeleweka tu(timu nyingi ni maskini).
Jambo ambalo mimi binafsi linanikera sana kuhusu hili soka letu la bongo ni hili kutoa airtime kubwa kwa dramas za nje ya uwanja hasa zinazohusu hawa mapacha wa kariakoo.... imagine sasa hivi mzee Magoma anaongelewa kuliko hata tetesi za usajili?
Watu hatujui Tabora United wamemsajili nani, wamemuuza nani, hatujui Ken gold wamefanya usajili gani na maandalizi yao yakoje, hatujui Dodoma jiji wako wapi mechi ya kirafiki maandalizi wanacheza na nani, hatujui KMC wamemuuza nani, wamemsajili nani...... yaani wao kila pakukucha ni taarifa za mzee magoma, mzee magoma, mara sijui Ally Kamwe kachambana na nani huko Instagram, sijui Amed ally kakutana na nani.... yaani ni uswahili swahili tu na ujinga ndio umejaa kwenye soka letu. Kiukweli inaudhi.
Imagine leo hii eti hao akina Ally Kamwe na mwenzake Amed Ally ni maarufu kuliko hata baadhi ya wachezaji tena wa hivyo hivyo vilabu vya Yanga na Simba..? Umewahi kuona wapi hiyo tofauti na bongo yaani msemaji wa timu anakuwa maarufu kulko hata mchezaji??? Kweli hii ndio soka letu, kivyetu vyetu.
Tukiachana na hilo la kuendekeza mambo ya uswahili swahili pamoja na ile kasumba ya kuwahusudu sana wachezaji wa kigeni mimi sina tatizo na soka letu la bongo na nnalipenda pia.
Tafuta helanigga kushabikia abroad means nothing. unajiona mzungu or with swagg nigga your crazy low 😂😂😂. smh your acting up.
nationalism is the new pop. btw
YaahDSTV - Experience smart life
Eti unakuta kipindi kizima cha michezo redioni ambacho kinachukua zaidi ya saa 1 wanajadili sakata la Feitoto, mara sijui wanampigia simu mpaka mama yake... na kesho tena hivyo hivyo na sio redio moja ni nyingi, mara hatujakaa sawa raisi wa nchi nae anajiingiza kwenye hizo dramas anatoa tamko.Soka letu, kivyetu vyetu hapo ndio ligi yetu ilipokita mizizi mambo ya uswahili.[emoji1787]
Sifa moja wapo kuu ya mtu anayepaswa kukaa kwenye hiyo nafasi ya usemaji wa club ni lazima awe ni msema ovyo yaani mpayukaji,mfitinishaji na unayejua kusifia kitu hata kama hakina ubora.Ni vitukoo vya Hali ya juu usemaji wa timu ni ajira iliyobuniwa Ili watu wapige pesa ila hamna Cha maana wanachokifanya zaidi ya kupiga kelele ushabiki hauna tofauti na uchawa maana unasifia vitu ambavyo havipo
Ndio maana nikasema nafasi ya uchawa ukijua tu kutukana timu pinzani na kuropoka vitu vya kuisifia klabu Yako aisee ni umeshapata kibarua Cha kudumu yaani hata ukisema mtaifunga Madrid utapigiwa makofi mpaka uchokeSifa moja wapo kuu ya mtu anayepaswa kukaa kwenye hiyo nafasi ya usemaji wa club ni lazima awe ni msema ovyo yaani mpayukaji,mfitinishaji na unayejua kusifia kitu hata kama hakina ubora.
Hii tu inaonesha ni nafasi ambayo hata haiitaji mtu awe na shule, bale awe ana sifa za uchawa na uswahili mwingi... yaani ni nafasi moja hivi ya ovyoo sana.
🤔 KishaTafuta hela