Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Yani hata Gigy money anaweza tu kua msemaji wa team coz kitu muhimu ni ujue kuchamba tu.
Yaani ni vitukoo ukiwaona wanavyobishana kuhusu hizo timu zao utacheka mtu amechoka kachakaa na maisha yaani kapauka ila kwenye ubishi wa simba na yanga hakubali kushindwa mtauana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Haya mambo yanaenda na generation, ukisikia mtu anakwambia hauelewi mpira wa kibongo maanake kazaliwa kipindi ambacho ligi za ulaya zinaoneshwa kwa wingi Tanzania.
 
Punguza dharau na tumia mlinganyo sahihi. Nashauri zingatia ligi ya Tz ni ya 6 kwa ubora Afrika. Sasa kufananisha Ligi yetu na hizo mnazotaja za playa huko kwa upande fulani haupo sawa. Linganisha yetu na ya kesha, Uganda nk.
 
Kwahiyo unataka kusema umeshindwa kufatilia ligi ya Egypt kwasababu nawao wana mipasho? Hoja yako ni mfu.
Ni wapi nimesema sifuatilii ligi ya Egypt coz ya mipasho? mbona unakua na akili za kijinga kiasi hicho? kwani una umri gani? isije ikawa napigizana kelele ka kitoto cha darasa la pili,

Nafuatilia ligi za Europe na Brazil,usitake nifuatilie ligi ambazo unataka wewe,mipasho nimeongelea ligi ya Bongo,huko kwingine ninaweza nikawa na sababu zangu zingine,acha kukariri.
 
Hapo juu unesema kuwa haufatilii ligi ya kibongo sababu ya mipasho mingi. Nikakuuliza swali je ligi ya Misri unafatilia ukanijibu haufatilii. Nikakuuliza kama haufatilii hata ligi ya Misri basi una sababu zako zingine ukiachana na mipasho. Ukanijibu hayo umesema wewe. Sasa huoni unavyojichanganya
 
Hata mimi nilikuwaga hvyo hapo zamani 2019 kurudi nyuma,nilikuwa siangalii kabisa mechi za bongo ila baada ya kuwa na kibanda umiza siku hz naangalia mara moja moja
 
Hapo juu unesema kuwa haufatilii ligi ya kibongo sababu ya mipasho mingi. Nikakuuliza swali je ligi ya Misri unafatilia ukanijibu haufatilii. Nikakuuliza kama haufatilii hata ligi ya Misri basi una sababu zako zingine ukiachana na mipasho. Ukanijibu hayo umesema wewe. Sasa huoni unavyojichanganya
Kumbe hata hujui unasimamia nini!
Hakuna sehemu uliyoniuliza kua ligi ya Misri nafuatilia?
Umeuliza Mpira wa Afrika unafuatilia? angalia comment yako #148

Pia soma comment yangu #155 naona unaropoka tu kama vile umekate brake kwenye mteremko.
 
Kwahiyo Misri ipo Amerika Kusini?
 
Kwahiyo Misri ipo Amerika Kusini?
Wewe punguani nitolee stress zako za maisha yako hapa,umeuliza Africa kwa ujumla,hukutaja nchi,unaonekana akili zako zilisha ganda kitambo tu,hapa unaishia kuruka ruka tu,kwani Ligi ya Bongo haipo Afrika?
 
Kumbe hata hujui unasimamia nini!
Hakuna sehemu uliyoniuliza kua ligi ya Misri nafuatilia?
Umeuliza Mpira wa Afrika unafuatilia? angalia comment yako #148

Pia soma comment yangu #155 naona unaropoka tu kama vile umekate brake kwenye mteremko.
Yote kwa yote, wale wote ambao hawafuatilii mpira wa bongo na badala yake wanafuatilia ya ulaya tu, hao ni watoto waliozaliwa miaka ya hivi karibuni.
 
Hayo ni mawazo ya kipumbavu sana kwa mtu anayejitambua,ligi ya Tz nilikua naifuatilia toka enzi zile inatangazwa rtd na kina Ahmed jongo na charles hilary,ila siku hizi upuuzi wa mipasho ndio umeleta vituko.
 
Back
Top Bottom