Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Ndio maana nikauacha sababu niliona ni takataka ya Hali ya juu yaani ni jalalani viwanja kama matuta ya viazi yaani ni vichekesho wachezaji wakiwa uwanjani kama wakulima
Uliacha au hujui mpira? Wanaojua mpira wametokea huku huku kwenye matuta ya viazi ni mwisho wa siku wapo zao mbele.
Ingekuwa mchezo wa mpira una mentality kama yako, basi kusingekuwa na mashindano ya pamoja lakini ndio maana kuna world cup, kuna AFCON, kuna CAF champions league na FIFA club world cup. Hayo ni mashindano jumuishi, ingekuwa mpira una bagua basi kusingekuwa na mashindano yanawaleta mabara yote pamoja. Kuwa na akili dogo.
 
Wewe unaejua upo wapi mbona hatukujui hatukuoni huko mbele unapopazungumzia
 
apo kwenye taka taka ungejaribu ata kulifanya ilo neno likawa kidogo laini kwa afya ya sisi tunaofatilia mpira wa tz🤣
 
Ni takataka ukijiona unashabikia mpira wa tanzania ujue umefanywa zuzu na CCM kiufupi umasikini utaambatana nao mpaka kufa kwako
 
Wewe unaojua upo wapi mbona hatukujui Bora Mimi nilieacha Toka utotoni
Ndio maana nilikwambia hapo juu uwe na akili. Akili yako imelala sana, hata uwezo wa kuchanganua mambo hauna. Sasa unataka kunijua wakati humu watu tunatumia anonymous.
 
danganya maboya wenzio hujui mpira Wala nini na hata kuucheza hujawahi unataka uanze uongo wako hapa yaani mijitu ya jamii forum sijui kwanini haipendi kusema ukweli
 
Tatizo kubwa ni viwanja,Kuangalia mpira wa bongo inabidi uwe jasiri sana, soka halina mvuto wachezaji ni kama wanaruka ruka tu mpira hautulii chini yaan bora mpira umeingia tu kwenye wavu,
 
Kumbe hata wewe umeona yaani viwanja kama mashamba ya mpunga
 
Hata wengi tu wataona fikra zako pia ni uchafu.

Au we ndo mzee MAGOMA🤔

Unajitekenya afu unacheka kwa nguvu.
 
time has changed
kufatilia mpira Europe is not cool any more. unaonekana mtumwa tu.

sema its ur choice,

la liga has better football quality,
 
La Liga Haina quality yoyote,game hazitazamiki,Bora uangalie Brighton vs hull city kuliko Valencia vs Sevilla
 
Back
Top Bottom