Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #61
Yaani unalazimisha kushabikia simba na yanga aisee mpira wa bingo ni uchafu sana tena ukisema mfano wewe ni azam utasikia jitu azam Haina mashabiki Sasa najiuliza unasemaje timu ya mpira Haina shabikiBongo Hakuna mpira Mzee ,kuna siasa na kujifurahisha ....
Imagine lazima uwe shabiki WA "Simba au Yanga "
Fala kabisa 😂
Tofauti na hapo ,watu wataaanza kukuuliza kwani unashabikia timu gani ukisema hata mashujaa ,hapo utatukanwa tusi moja hata shetan anaweza kusimama😂😂😂