Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Kwahiyo usipocheza mpira unakua sio mpenzi wa mpira
Kabla ya kukujibu hilo swali, naomba kwanza unitajie wachezaji wanaocheza mpira huku wakiwa hawana mapenzi na mpira. Kama hauna list ya wachezaji maanake umekubali kuwa wote wanaocheza mpira ni wapenzi wa mpira.
 
Wachezaji wa Tanzania hawana elimu ya kutosha na vipaji juu ya kucheza huo mchezo. Ukilinganisha na Europe utaona kabisa wachezaji wa huku ni pure amateurs.

Ukilinganisha na Camera za viwango vya chini. Then unapata mpira wa bongo.
 
Kabla ya kukujibu hilo swali, naomba kwanza unitajie wachezaji wanaocheza mpira huku wakiwa hawana mapenzi na mpira. Kama hauna list ya wachezaji maanake umekubali kuwa wote wanaocheza mpira ni wapenzi wa mpira.
Hivi unaakili kweli Kuna mwanaume asiecheza mpira duniani hapa kwenye makuzi yake
 
Wapo wengi tu mfano mmoja wapo ni wewe? wewe mpira hukucheza.
Wewe ni mama yangu ningekua sijacheza ningesema mpira wa tanzania takataka sababu hauna vigezo vya football hivi unaakili timamu
 
Kwa hapa Tanzania timu nazozipenda ni mbili tu.

Simba na Taifa stars.
 
Picha linaanza lazima ushabikie Simba au Yanga ...

Tanzania Hakuna mpira ,hata mashabiki Ni glory hunter tu ....

Ndio maana wanashabikia timu mbili tu zinazoshinda ,mbaya Zaidi hidi kiongozi WA nchi ambao wanamiliki club zingine ,unakuta wanapenda hizo timu🤔😂...

MTU anamiliki singida united lakin Ni shabiki WA Yanga ,...hii utaona bongo tu ,

,au kocha WA mtibwa sugar unakuta Ni shabiki WA Simba ...

Hapa ndio niliona mpira WA bongo Ni utapeli tu 😂
 
Halafu Kuna jitu linakaa kabisa linafananisha mpira wa bongo na ulaya nahisi akili za muafrica hua zinapungua
 
Nimekuuliza wewe ni mama yangu mpaka unasema sikucheza mpira jibu swali sio unaniuliza maswali mengine
Una option mbili ya kukataa kuwa mpira hukuucheza au uliucheza. Na kama ulicheza basi ni wazi unakiri kuwa nawewe ni takataka vile vile kwasababu umecheza mpira wa kibongo ambao unasema ni takataka. Nimekuanzia mbali na mwisho nimekuleta kwenye kibano. Mpuuzi wewe
 
Ndio maana nikauacha sababu niliona ni takataka ya Hali ya juu yaani ni jalalani viwanja kama matuta ya viazi yaani ni vichekesho wachezaji wakiwa uwanjani kama wakulima
 
Back
Top Bottom