Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Picha linaanza lazima ushabikie Simba au Yanga ...

Tanzania Hakuna mpira ,hata mashabiki Ni glory hunter tu ....

Ndio maana wanashabikia timu mbili tu zinazoshinda ,mbaya Zaidi hidi kiongozi WA nchi ambao wanamiliki club zingine ,unakuta wanapenda hizo timu🤔😂...

MTU anamiliki singida united lakin Ni shabiki WA Yanga ,...hii utaona bongo tu ,

,au kocha WA mtibwa sugar unakuta Ni shabiki WA Simba ...

Hapa ndio niliona mpira WA bongo Ni utapeli tu 😂
Vituko vitupu lkn ndio nchi yetu hii, hakuna namna
 
nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi
We Jamaa unataka tukutukane utusakazie ban au sio yaan unatutukania Nchi yetu Wewe raia wa Nchi gani?
 
Hata mimi nimeshindwa kabisa hiyo kitu. Ikitokea nimeangalia labda nipo mahali na washkaji halafu muda huo game ya bongo ipo on TV.

Ila siwezi kuwasha TV yangu au kwenda mahali kuangalia mechi za kibongo. Bora nilale tu.

Kama umeshazoea kuangalia game za leagues za Ulaya ukiangalia mipira ya bongo utachukia sana. Sijui huwa watu wanaenjoy nini.
 
Uliyo andika hapa ndio uchafu wenyewe sasa taka taka za jalalani kabisa
 
Hata mimi nimeshindwa kabisa hiyo kitu. Ikitokea nimeangalia labda nipo mahali na washkaji halafu muda huo game ya bongo ipo on TV.

Ila siwezi kuwasha TV yangu au kwenda mahali kuangalia mechi za kibongo. Bora nilale tu.
Ukweli usemwee ligi ya tanzania ni uchafu takataka
 
Hata mimi nimeshindwa kabisa hiyo kitu. Ikitokea nimeangalia labda nipo mahali na washkaji halafu muda huo game ya bongo ipo on TV.

Ila siwezi kuwasha TV yangu au kwenda mahali kuangalia mechi za kibongo. Bora nilale tu.

Kama umeshazoea kuangalia game za leagues za Ulaya ukiangalia mipira ya bongo utachukia sana. Sijui huwa watu wanaenjoy nini.
Sikujua km na Wewe ndio wale wale nimekuvua
 
Hata mimi nimeshindwa kabisa hiyo kitu. Ikitokea nimeangalia labda nipo mahali na washkaji halafu muda huo game ya bongo ipo on TV.

Ila siwezi kuwasha TV yangu au kwenda mahali kuangalia mechi za kibongo. Bora nilale tu.

Kama umeshazoea kuangalia game za leagues za Ulaya ukiangalia mipira ya bongo utachukia sana. Sijui huwa watu wanaenjoy nini.
Ni sawa na mtu umetoka kula Biriani halafu ukaribishwe ugali wa sembe na pilipili hoho.

😀😀
 
Back
Top Bottom