Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Mtz mpaka afe ndo utajua maisha yake halisi

Akiwa mzima lifestyle yake mtandaoni hua ni full ushua hata kama hana..

Mtu wa soka tena ambaye hupenda kuangalia na kulisakata (baadhi yetu) hua tunapata burudani tu hata tukiangalia ndondo.

N.B Tunaheshimu maamuzi yako mkuu.
 
Mtz mpaka afe ndo utajua maisha yake halisi

Akiwa mzima lifestyle yake mtandaoni hua ni full ushua hata kama hana..

Mtu wa soka tena ambaye hupenda kuangalia na kulisataka (baadhi yetu) hua tunapata burudani tu hata tukiangalia ndondo.

N.B Tunaheshimu maamuzi yako mkuu.
Sifanyi huo ujinga kwenda kuangalia mechi za watu wamekaa wanavuta bangi visu kiunoni wanasubiri mpira uishe waanze kuiba na kutukana matusi uwanjani ndondo utaangalia peke yako
 
Ngoja nikuchangamshe kidogo pm naona huna adabu
 
Mimi mwenyewe mpira WA bongo siupendi kabisa ....

Quality mbaya ...

Viwanja vibaya ,vinavipara ....

Hata uchezaji Ni mbovu Hakuna vipaji kiufupi tunaforce ....

Nikitoka kwenye screen ya mpira WA ulaya ,ball la man city lilivokuwa linatembea kwenye kapeti aisee harafu ukarudi kwenye screen mpira WA kibongo sijui singida vs Yanga aiseee mpaka mood ya kuangalia mpira inaisha 😂...

Labda Kwa vile nimekuwa nikiangalia mpira WA ulaya Kwanza ,harafu ndio nikafata WA bongo ....
 
kila kitu ni hatua, tanzania ya ccm imechagua kuanza na chumba kimoja cha slope....haijui lini itajenga nyumba nzuri. tumejificha kwenye usemi wa sisi masikini,hatuwezi kujiendesha hadi tukope na tukikopa tunajiibia zinaishia maofisini kwa kujifisadi wenyewe..tunasahau kuwa tulikopa ili tujenge. Nakupa pole ndugu yangu....kuongozwa na mtu asiyekuwa na maono ni hatari sana...ikubali tu ligi ya nchi yako maana hakuna namna...hata ukifa tutakurudisha kwa ardhi yetu hii hii ya ligi ya uchafu😛
 
Mimi mwenyewe mpira WA bongo siupendi kabisa ....

Quality mbaya ...

Viwanja vibaya ,vinavipara ....

Hata uchezaji Ni mbovu Hakuna vipaji kiufupi tunaforce ....

Nikitoka kwenye screen ya mpira WA ulaya ,ball la man city lilivokuwa linatembea kwenye kapeti aisee harafu ukarudi kwenye screen mpira WA kibongo sijui singida vs Yanga aiseee mpaka mood ya kuangalia mpira inaisha 😂...

Labda Kwa vile nimekuwa nikiangalia mpira WA ulaya Kwanza ,harafu ndio nikafata WA bongo ....
Yaani hata Mimi hivyo hivyo yaani naona kama matuta ya viazi viwanja vya bongo kama jalalani yaani ni uchafu Fulani hivi
 
Binadamu tunatofautiana,unachokipenda wewe sio lazima na wengine wakipende!!
Hakukua na ulazima wa wewe kuita mpira wetu takataka!!
Siku nyingine we sema tu hupendi mpira wetu basi!! Tutakuelewa!!
Wengine tunapenda na tuko Proud of it!!
 
Inahitaji jicho fulani la kibongo kuuelewa mpira wetu bila hivyo lazima utaukataa. Haina tofauti sana na kuangalia basketball yetu, takataka tupu.

Au haina tofauti na upungufu wa mipango miji katika mji kama Dar es Salaam. Ujenzi holela, watu wanafanya biashara holela, vibanda vya bati na mbao za kuokoteza kila mahali. Bila jicho la kibongo utataka utembee umefumba macho.
 
Sifanyi huo ujinga kwenda kuangalia mechi za watu wamekaa wanavuta bangi visu kiunoni wanasubiri mpira uishe waanze kuiba na kutukana matusi uwanjani ndondo utaangalia peke yako

Mkuu ww si mtu wa mpira unaowaangalia kwa TV usidhani wameanzia tu huko.
 
Yaani hata Mimi hivyo hivyo yaani naona kama matuta ya viazi viwanja vya bongo kama jalalani yaani ni uchafu Fulani hivi
Mkuu mim Naona tatizo Ni mwonekano aisee ,sijui azamu wanatumia camera za tecno ,...

Viwanja vichovu ,bado camera zenye ukungu ,Hakuna uangavu wowote ...

Bora hata wawe wanacheza Simba na Yanga camera zinakuwa nyingi nzuri ,aisee zikicheza timu nyingine Ni majanga camera moja ya infinix ndio inakuwa inazunguka uwanjan mzima ,kuna muda hata mchezaji Haonekana ,inaonekana jezi ....

Technology mbovu mnoo
 
Kilichonishinda kwenye soka la bongo ni uswahili kwenye hizi timu za Kariakoo.

Ligi ina timu zenye mambo ya kiduanzi sana. Ukiangalia social media pages ndio utajua soka la bongo ni ujinga tu. Wala huna haja kutazama mechi kujua aina ya ligi tuliyonayo.

Pia, ligi yetu imejaa "glory hunters" kitu kinachopelekea ushabiki maandazi. Kila mtu yupo Simba au Yanga na vitu wanavyobishania ni vya kijinga-jinga tu.

Timu zinaongozwa kama vile zipo amateur level. Ukisikiliza wasemaji wa timu unabaki kujiuliza hivi kweli huyu ni mtu ameajiriwa kusema huu utumbo kwenye media?

Club officials unawakuta kwenye social media wakipigana vijembe na kubishana tu.

Mkuu acha ulimbukeni.

Mtu anaweza akawa Simba au Yanga lakini aka_apreciate uwezo wa mchezaji au team nyingine

Mtu wa boli hawezi akawa na mawazo hafifu kama yako.
 
Kilichonishinda kwenye soka la bongo ni uswahili kwenye hizi timu za Kariakoo.

Ligi ina timu zenye mambo ya kiduanzi sana. Ukiangalia social media pages ndio utajua soka la bongo ni ujinga tu. Wala huna haja kutazama mechi kujua aina ya ligi tuliyonayo.

Pia, ligi yetu imejaa "glory hunters" kitu kinachopelekea ushabiki maandazi. Kila mtu yupo Simba au Yanga na vitu wanavyobishania ni vya kijinga-jinga tu.

Timu zinaongozwa kama vile zipo amateur level. Ukisikiliza wasemaji wa timu unabaki kujiuliza hivi kweli huyu ni mtu ameajiriwa kusema huu utumbo kwenye media?

Club officials unawakuta kwenye social media wakipigana vijembe na kubishana tu.
Yaani ligi ya bongo kama uchafu Fulani hivi ukiangalia kitimu kidogo ulaya na ukifananisha na simba na yanga ambazo tanzania ndio timu kubwa yaani ni mbingu na ardhi
 
Mkuu mim Naona tatizo Ni mwonekano aisee ,sijui azamu wanatumia camera za tecno ,...

Viwanja vichovu ,bado camera zenye ukungu ,Hakuna uangavu wowote ...

Bora hata wawe wanacheza Simba na Yanga camera zinakuwa nyingi nzuri ,aisee zikicheza timu nyingine Ni majanga camera moja ya infinix ndio inakuwa inazunguka uwanjan mzima ,kuna muda hata mchezaji Haonekana ,inaonekana jezi ....

Technology mbovu mnoo
Yaani ni kituko aisee hata viwanja ni vioja fikiria Benjamin mkapa ndio uwanja Bora tanzania aisee ni kituko hichi
 
Bongo Hakuna mpira Mzee ,kuna siasa na kujifurahisha ....

Imagine lazima uwe shabiki WA "Simba au Yanga "

Fala kabisa 😂

Tofauti na hapo ,watu wataaanza kukuuliza kwani unashabikia timu gani ukisema hata mashujaa ,hapo utatukanwa tusi moja hata shetan anaweza kusimama😂😂😂
 
Back
Top Bottom