Pole mkuu unafanya shughuli gani? Mama mbona amezikwa ghafla?Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu
Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo
Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo
Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo
Sisi watanzania kuwa waongo wanasababisha kuto msaidia jamaa?Natamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭
Huyu mtu ni nani, mbona anawekwa sana kwenye reply za mada mbali mbali?
Ngumu kuamini anachosema Hata huyu. Hskuna anaetaka kudanganywa na kuonekana bwege Wakati kweli ulitaka kusaidiaSisi watanzania kuwa waongo wanasababisha kuto msaidia jamaa?
Pia bado hajazikwaPole mkuu unafanya shughuli gani? Mama mbona amezikwa ghafla?
Huna ndugu wa karibu hapo dar?
Mkuu bado hajazikwa mazishi ni kesho kama unavyojua vijijini wanathamini sana ndugu na watoto wakubwa kuwepoMuhimu kashazikwa , maziko ni muhimu kwa binadamu ili kuondoa kero ,haijalishi anazikwa vipi , ila Pole sana kwa kumkosa mama yako mkuu, ndivyo maisha yalivyo.
Hata si siku moja tutakufa tu.
Uza simu uwende msiban,Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu
Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo
Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo
Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo
Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli
Sasa kama unadaiwa simu ! Hudaiwi songesha kweli?Pia bado hajazikwa
Mkuu bado hajazikwa mazishi ni kesho kama unavyojua vijijini wanathamini sana ndugu na watoto wakubwa kuwepo
Atazikwa tu, hata wewe ukiwa haupo atazikwa tuPia bado hajazikwa
Mkuu bado hajazikwa mazishi ni kesho kama unavyojua vijijini wanathamini sana ndugu na watoto wakubwa kuwepo
Kwenye haya mambo ukiamua kusaidia fanya hivyo kwa moyo mweupe na uchukulie msaada wako kama sadaka unatoa. Msaada wa aina hii usio na mawaa huwa tunasema ni sawa na kumkopesha Mungu. Hata kama mtu atakuwa ni tapeli basi atakwenda huko kushughulika na Mungu wake lakini wewe utakuwa haumo. Ukiwa na mtazamo huu wa sadaka kamwe hutakaa utapeliwe!Natamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭
Kata tiketi acha mbwembweNatamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭