Nimeshtukaa! Kumbe wanawake wa Tarime wana Mikia namna hii!.

Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi wenzangu tukajisogeza hapo, ni hotel kubwa nzuri,

Sasa tukiwa pale kitu nilichokuja kushtuka kila mwanamke anayepita kajazia kwenye mkia, hadi wale waliokaa wakisimama wamejazia mikiani, mh! nikawauliza wenzangu hivi mnaona ninachokiona wakacheka sana wakasema "sasa wewe Mari na mikia wapi na wapi, tuachie sisi" nikawaambia sio kama naitaka ila nashangaa sikutegemea kuona mikia iliyojazia na kunona Tarime, nilijua mikia ipo Mwanza na Kagera, nikasema huenda nilitingwa sana na kazi nikawa sifatilii hii mikia ila hiyo siku ndio naiona live,

Mida ya jioni jioni wakaingia wanawake kama sita hivi oyaaaaa, oyaaaaaa, oyaaaaaaaaaaa🫡🙌🏻 yaani mikia inashindana tu ukubwa na upana, wakakaa meza ya pembeni yetu, wakawa wanatuzoom sana baada ya muda wakajisogeza kwenye meza yetu kampani ikawa ya kutosha wakasema wametupenda tulivyo,

Kuna mmoja bhana akaanza kunirembulia macho alikua anakunywa Amarula nikaona mmh hii noma, hiyo SUV naipeleka wapi mimi nisije nikapotelea kwenye mapaja ya mtu, nikazuga naongea na simu kumbe nimeita usafiri, ulipofika tu nikasimama kama naenda washroom shwaaaah! nikawaachia vumbi dadekiiiii,

Ila wanawake wa Tarime mmmmh! mikia ipo bhana, nawapa maua yenu💐💐💐

POV: Wanaume wa Tarime wanapenda kutema tema mate hovyo yaani hawana ustaarabu kabisa, mmesimama mnaongea mtu anarusha mate kama Swila, anaweza akarusha mate hata seblen, mbadilike aisee mbona wanawake zenu wapo vizuri tu kasoro nyie, looh!!!
Iko wapi pichaa?
 
Wanamakebo sawa ila kule pembeni huwa yanajiminya kwa ndani yanatengeneza shape kama ya chupi mixer kama kitambi mdondoko, Raha ya tako litanuke kwa pembeni na kwa nyuma yaani kuwe na uwiano ulio sawa.

Huku mtaani kitunda wamejaa ila sina shobo nao, wale wanaopenda syle pendwa ya dogi style watakuwa wanaelewa changamoto ya haya makalio ya wakurya.
Ila hata mimi sipendi watu wanaotema mate hovyo.
 
Huu ni Uzi wa nne tangu mtoa mada(ke) aanze kuwasifia ke wenzake

Kuna mahali Wanaume tumekwama kumfanya mtoa mada arudie asili yake

Ni bahati sisi wengine tumeshazeeka, ila ingekuwa mwaka 47 ningemwagiza mtoa mada aniletee Kiko ili tuzungumze vizuri 🤭

Kweli penye miti hakuna wajenzi 🤪
 
Hapana bhana mbona niliowaona hawana vitambi flat tummy bonge la hips na tako lake
 
Huu ni Uzi wa nne tangu mtoa mada(ke) aanze kuwasifia ke wenzake

Kuna mahali Wanaume tumekwama kumfanya mtoa mada arudie asili yake

Ni bahati sisi wengine tumeshazeeka, ila ingekuwa mwaka 47 ningemwagiza mtoa mada aniletee Kiko ili tuzungumze vizuri 🤭

Kweli penye miti hakuna wajenzi 🤪
Babu tulia haya mambo ni ya vijana ujue huyaweziiiiiii😂
 
Back
Top Bottom