Iko wapi pichaa?Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi wenzangu tukajisogeza hapo, ni hotel kubwa nzuri,
Sasa tukiwa pale kitu nilichokuja kushtuka kila mwanamke anayepita kajazia kwenye mkia, hadi wale waliokaa wakisimama wamejazia mikiani, mh! nikawauliza wenzangu hivi mnaona ninachokiona wakacheka sana wakasema "sasa wewe Mari na mikia wapi na wapi, tuachie sisi" nikawaambia sio kama naitaka ila nashangaa sikutegemea kuona mikia iliyojazia na kunona Tarime, nilijua mikia ipo Mwanza na Kagera, nikasema huenda nilitingwa sana na kazi nikawa sifatilii hii mikia ila hiyo siku ndio naiona live,
Mida ya jioni jioni wakaingia wanawake kama sita hivi oyaaaaa, oyaaaaaa, oyaaaaaaaaaaa🫡🙌🏻 yaani mikia inashindana tu ukubwa na upana, wakakaa meza ya pembeni yetu, wakawa wanatuzoom sana baada ya muda wakajisogeza kwenye meza yetu kampani ikawa ya kutosha wakasema wametupenda tulivyo,
Kuna mmoja bhana akaanza kunirembulia macho alikua anakunywa Amarula nikaona mmh hii noma, hiyo SUV naipeleka wapi mimi nisije nikapotelea kwenye mapaja ya mtu, nikazuga naongea na simu kumbe nimeita usafiri, ulipofika tu nikasimama kama naenda washroom shwaaaah! nikawaachia vumbi dadekiiiii,
Ila wanawake wa Tarime mmmmh! mikia ipo bhana, nawapa maua yenu💐💐💐
POV: Wanaume wa Tarime wanapenda kutema tema mate hovyo yaani hawana ustaarabu kabisa, mmesimama mnaongea mtu anarusha mate kama Swila, anaweza akarusha mate hata seblen, mbadilike aisee mbona wanawake zenu wapo vizuri tu kasoro nyie, looh!!!
Mtihan kwenye nnWanawake wenye mzigo mkubwa kupitiliza nayo ni mtihani tu
Wanamakebo sawa ila kule pembeni huwa yanajiminya kwa ndani yanatengeneza shape kama ya chupi mixer kama kitambi mdondoko, Raha ya tako litanuke kwa pembeni na kwa nyuma yaani kuwe na uwiano ulio sawa.Happy New Month,
Guys, nilikua Tarime for few days, sasa siku ya jumapili tukasema tujipongeze before hatujaondoka, nikauliza kiwanja kinachobamba nikaambiwa CMG Hotel, wakapasifia weeh sijui Mondi ndio anapolala blah blah blah, nikasema poa, sikua peke yangu nilikua na jopo la wafanyakazi wenzangu tukajisogeza hapo, ni hotel kubwa nzuri,
Sasa tukiwa pale kitu nilichokuja kushtuka kila mwanamke anayepita kajazia kwenye mkia, hadi wale waliokaa wakisimama wamejazia mikiani, mh! nikawauliza wenzangu hivi mnaona ninachokiona wakacheka sana wakasema "sasa wewe Mari na mikia wapi na wapi, tuachie sisi" nikawaambia sio kama naitaka ila nashangaa sikutegemea kuona mikia iliyojazia na kunona Tarime, nilijua mikia ipo Mwanza na Kagera, nikasema huenda nilitingwa sana na kazi nikawa sifatilii hii mikia ila hiyo siku ndio naiona live,
Mida ya jioni jioni wakaingia wanawake kama sita hivi oyaaaaa, oyaaaaaa, oyaaaaaaaaaaa🫡🙌🏻 yaani mikia inashindana tu ukubwa na upana, wakakaa meza ya pembeni yetu, wakawa wanatuzoom sana baada ya muda wakajisogeza kwenye meza yetu kampani ikawa ya kutosha wakasema wametupenda tulivyo,
Kuna mmoja bhana akaanza kunirembulia macho alikua anakunywa Amarula nikaona mmh hii noma, hiyo SUV naipeleka wapi mimi nisije nikapotelea kwenye mapaja ya mtu, nikazuga naongea na simu kumbe nimeita usafiri, ulipofika tu nikasimama kama naenda washroom shwaaaah! nikawaachia vumbi dadekiiiii,
Ila wanawake wa Tarime mmmmh! mikia ipo bhana, nawapa maua yenu💐💐💐
POV: Wanaume wa Tarime wanapenda kutema tema mate hovyo yaani hawana ustaarabu kabisa, mmesimama mnaongea mtu anarusha mate kama Swila, anaweza akarusha mate hata seblen, mbadilike aisee mbona wanawake zenu wapo vizuri tu kasoro nyie, looh!!!
La kuzaliwa nalo au la kutengeneza?
Tazama ya kuku ilivyo na bado nyama yake ni tamuMiguu yao miembamba Sana chini
Black beauty bhana ndio poawana miili mizuri sema rangi na kutembea km mwanamke kipengele
Kama ulikuwepo napenda sana viportable, kananyumbulika vizuriiiiiii😋Aisee ,, basi yaelekea una kamwili kadogo
Mwili wako kama wale wadada kwenye konekshen nliyoiona juzi tu wanasagana, kibint flan kina Rasta, anakatika Hadi mbo yangu ilisimama...huyo nadhani ndio anakufaa huyo binti .... .
Hapana bhana mbona niliowaona hawana vitambi flat tummy bonge la hips na tako lakeWanamakebo sawa ila kule pembeni huwa yanajiminya kwa ndani yanatengeneza shape kama ya chupi mixer kama kitambi mdondoko, Raha ya tako litanuke kwa pembeni na kwa nyuma yaani kuwe na uwiano ulio sawa.
Huku mtaani kitunda wamejaa ila sina shobo nao, wale wanaopenda syle pendwa ya dogi style watakuwa wanaelewa changamoto ya haya makalio ya wakurya.
Ila hata mimi sipendi watu wanaotema mate hovyo.
Ukweli usemwe, wanatema mate hovyo kama wanakula ugoro 🤢Aya ya mwisho unatutafuta ugomvi
Babu tulia haya mambo ni ya vijana ujue huyaweziiiiiii😂Huu ni Uzi wa nne tangu mtoa mada(ke) aanze kuwasifia ke wenzake
Kuna mahali Wanaume tumekwama kumfanya mtoa mada arudie asili yake
Ni bahati sisi wengine tumeshazeeka, ila ingekuwa mwaka 47 ningemwagiza mtoa mada aniletee Kiko ili tuzungumze vizuri 🤭
Kweli penye miti hakuna wajenzi 🤪
Hata wajaluo hawako vibaya wako na haga mazeeBlack beauty bhana ndio poa
😄 hujaelewa ngoja nikutafutie mfano nitakutumiaHapana bhana mbona niliowaona hawana vitambi flat tummy bonge la hips na tako lake